Actions

Makala

From Joomla! Documentation

This page is a translated version of a page Article and the translation is 100% complete.

Other languages: български 100% • ‎català 100% • ‎dansk 67% • ‎English 100% • ‎español 100% • ‎فارسی 83% • ‎français 100% • ‎Bahasa Indonesia 100% • ‎italiano 100% • ‎日本語 100% • ‎Nederlands 100% • ‎Kiswahili 100% • ‎Türkçe 100%

Katika Joomla! makala ni kipande cha yaliyomo kinachotokana na maandishi ya (HTML), pengine na viungo kwa rasilimali zingine (kwa mfano, mapicha). Makala ni kitengo cha msingi wa maelezo katika mfumo wa yaliyomo na kiwango cha chini katika madaraja ya yaliyomo. Kutoka kwa Joomla! 2.5 Joomla 2.5, kila makala ni hasa ya Jamii mmoja. Jamii inaweza kua ndani ya jamii, ambayo inafanya jamii ya chini. Na pia inawezekana kua na jamii ambayo haikuazinishwa. Makala hizi ziko bila ya kuhusiana na jamii yoyote.

Kabla ya Joomla! 2.5 na toleo la kitambo, makala zilikuwa ni viwango vya tatu katika madaraja Sehemu  Majamii  Makala. Sasa makala iko kiwango cha juu na itakuwa kilamara katika kiwango cha pili au zaidi ya madaraja.

Makala ina tengezwa kwa kutumia Meneja wa Makala (angalia Meneja wa Makala wa Yaliyomo kwa Joomla 3.3 au Meneja wa Makala wa Yaliyomo kwa Joomla 2.5) ambayo inaweza kupatika kwa Msimamizi (Upande wa Nyuma) kwa kubofya katika menyu ya Yaliyomo, kisha kitu cha menyu cha Meneja wa Makala.

Angalia pia: Jamii


Masomo Yaliopendekezwa

Kusimamia Yaliyomo

Kuhariri Makala