Actions

Chunk

Menyu

From Joomla! Documentation

This page is a translated version of a page Chunk:Menu and the translation is 100% complete.

Katika Joomla!, Menyu ni seti ya vitu vya menyu vinatumika kwa urambazaji wa wavuti. Kila kitu cha menyu kinafafanua URL kwa ukurasa moja katika wavuti wako na matayarisho kwa yaliomo (makala, majamii, maorodha, vitu vimetagiwa, na kadhalika) na mtindo (moduli, mpangilio) wa ukurasa huu. Kwa maongezo, kila menyu ina Aina ya Menyu itaonyeshwa katika Meneja wa Menyu; angalia Kuongeza menyu mpya. Kwa kweli, aina ya menyu itakuwa jina la kipekee au jina bandia linatumika kwa kutengeza URLs kwa kusomeka kibinafsi ikiwa URLs unaofaa kwa mashini ya kutafuta (SEF URLs) umewashwa. Vitu vya menyu vinaweza kuwa na vitu vya chini bila ya mpaka.

Menyu haitaonyeshwa moja kwa moja kwa ukurasa wowote. Unatakiwa utengeze moduli ya menyu kwa kuonyesha menyu kwa baadhi ya kurasa au kurasa zote. Kila menyu inaweza kuonyeshwa na moduli moja au nyingi (kwa njia hii utaweza kuonyehsa menyu hiohio kwa nafasi tofauti). Na pia unaweza kutengeza menyu zinazogawanyika.

Menyu ambayo haionyeshwi kwa moduli yoyote kwa kawaida inaitwa menyu iliojificha. Mamenyu yaliojificha yanaweza kutumika kwa kutengeza URLs ambazo hazitaonekana kwa kurasa yoyote.

Languages

Other languages: català 50% • ‎dansk 25% • ‎English 100% • ‎español 100% • ‎français 100% • ‎Bahasa Indonesia 100% • ‎日本語 25% • ‎Nederlands 100% • ‎svenska 25% • ‎Kiswahili 100%