JDOC

Kutafsiri Viungo

From Joomla! Documentation

This page is a translated version of the page JDOC:Translating Links and the translation is 40% complete.
Outdated translations are marked like this.
Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎català • ‎eesti • ‎español • ‎français • ‎italiano • ‎português do Brasil • ‎български • ‎русский • ‎українська • ‎日本語

Utangulizi

Kuunganisha makurasa yaliotafsiriwa ni sehemu muhimu ya urambazaji wa makurasa kwa watumiaji wetu. Ni njia haraka kutuma mtumiaji kwa ukurasa mwingine kwa maelezo zaidi kuhusu mada muhimu. Viungo hivi nilazima vitafsiriwa kwa njia maalum, kwa kuweka mtumiaji katika lugha aliochagua. Ikiwa mtu anavunjari mwongozo wa Joomla! katika lugha yake, pengine atataka kubakia kwa lugha yake, ikiwa itawezekana. Kupean kiungo kwa ukurasa wa kiingereza na ufanye kazi, lakini mtumiaji nilazima abofye kiungo cha lugha yake kwa kusoma lugha yake.

Link Translation

Viungo vya makurasa nilazima vitafsiriwa kwa njia maalum kwa kutuma msomaji kwa ukurasa mwingine kwa lugha hiyo hiyo. Waandikaji wa kiingereza wanaweza kusaidia kwa kufuata fomati hii pia. Itakuwa nirahisi kwa watafsiri ikiwa kiungo cha sawa kiko tayari wakati wa kuanza kutafsiri.

Katika kiungo cha kawaida [[Component]] mtumiaji atatumwa kwa ukurasa wa Komponenti ikiwa atabofya kiungo. Kama kuna toleo la ukurasa uliotafsiriwa, kwa mfano kifaransa, ukurasa wa kifaransa utapakiwa katika [[Component/fr]].

Ni vipi ikiwa ukurasa wa Component/fr bado haujategezwa? Mtumiaji ataona 'kiungo chekundu', inamaanisha ukurasa haupo (kiungo cha bluu inamaanisha ukurasa uko). Labda ukurasa wa Component utatafsiriwa baadaye, lakini bado haujatafsiriwa. Kwa sababu hii, utumie kila mara Special:MyLanguage/ kama prefix ya ukurasa ulioungwa.

[[Component]] unapaswa kuandikwa kama [[S:MyLanguage/Component|Komponenti]]
 au
[[Component]] unapaswa kuandikwa kama [[Special:MyLanguage/Component|Komponenti]]

Ni vipi "Special:MyLanguage" inatumika kwa kiungo

Special:MyLanguage/ inafanya nini? Inafanya vitu vichache wakati wa kuendeleza kiungo kilichobofiwa katika ukurasa kabla ya kutuma mtumiaji kwa ukurasa. Hapa uko mfano unao tumika kwa ukurasa wa Component:

  • Mtumiaji ameuliza kiungo hiki: Special:MyLanguage/Component
  • Pata lugha ya mtuiaji (au lugha gani ukurasa uliotazamwa karibuni?).
  • Nimepata! Mtumiaji anatazama ukurasa wa kifaransa, kodi ya lugha ni fr.
  • Tuangalie kama kiungo kimebofiwa kwa komponenti na kinapatikana kwa kifaransa. Ongeza /fr mwisho.
    • Ndio, Component/fr ni ukurasa halisi! Tuma mtumiaji kwa toleo la kifaransa la ukurasa;
    • Hapana, ukurasa wa Component/fr hauko. Tuma mtumiaji kwa toleo la lugha ya difoti ya chanzo;
  • Onyesha ukurasa kwa mtumiaji.

Links in Help Pages

In Help pages the Special:MyLanguage part of a link is removed. You can test that by opening this page as a normal document or a help document and comparing the sources of the links:

If you invoke the Help page version you will see that the Special:MyLanguage/ part has disappeared from the first link above. This has implications for links within Help pages.

To link to another internal wiki document from a Help page the page language suffix must be included in the source like this:

[[Special:MyLanguage/JDOC:Translating_Links/en|Translating Links]]

That gives a translator the option to translate just the text of the link or both the language and the text. The language is best left as en until the translator is ready to translate the linked page. If the link text is changed before a translation has been created there will be no link in the Help page, just the link text, and the translated source page will have red text giving anyone the option to create the page in the normal way. It is better for the translator to go to the source page and select the Translate this page link. For similar reasons, authors should avoid the use of {{#translation:}} to insert the language code of the current translation.

Link Format Precedence

If both Special:MyLanguage and the language suffix (/en) are including in a link then Special:MyLanguage takes precedence. You can confirm that by trying the following links:

Maombi ya matumizi

Watafsiri

Matayarisho katika nyaraka za Joomla! yamefanya vitu kuwa rahisi shukurani kwa ufupisho wa "Special:" katika viungo. Unaweza kutumia "S:" badala ya "Special:" katika kiungo, [[S:MyLanguage/...]].

Viungo vya kawaida vya makurasa

[[Component]] unapaswa kuandikwa kama [[S:MyLanguage/Component|<{tafsiri hii pekee}>]]
 au
[[Component]] unapaswa kuandikwa kama [[Special:MyLanguage/Component|<{tafsiri hii pekee}>]]

Viungo vya nafasi ya jina

[[JDOC:Translating Links]] unapaswsa kuandikwa kama [[S:MyLanguage/JDOC:Translating Links|<{tafsiri hii pekee}>]]
 au
[[JDOC:Translating Links]] unapaswsa kuandikwa kama [[Special:MyLanguage/JDOC:Translating Links|<{tafsiri hii pekee}>]]

Viungo vya makurasa ya jamii:

[[:Category:Glossary_definitions]] unapaswa kuandikwa kama [[S:MyLanguage/:Category:Glossary_definitions|<{tafsiri hii pekee}>]]
 au
[[:Category:Glossary_definitions]] unapaswa kuandikwa kama [[Special:MyLanguage/:Category:Glossary_definitions|<{tafsiri hii pekee}>]]

Waandishi na wahariri wa kurasa za kiingereza

Yote ya juu katika sehemu ya Watafsiri yanathamani kwa waandishi na wahariri wa kurasa za kiingerza. Unaweza kusaidia kutafsiri kwa kutengeza viungo katika toleo la kiingereza kwa kutumia pia Special:MyLanguage/ au S:MyLanguage/! Ukurasa hauhitaji kualamishwa kwa kutafsiri, au kwa sasa uko na maendeleo ya kutafsiriwa. Kama makurasa yataongezwa kwa foleni ya kutafsiri, watafsiri watakuwa na urahisi wa kutafsiri viungo katika ukurasa.