Difference between revisions of "Access Control List/sw"

From Joomla! Documentation

Line 12: Line 12:
 
* [[S:MyLanguage/J2.5:Access_Control_List_Tutorial|Mafunzo: Orodha ya Kuthibiti Maingizo (ACL)]] {{JVer|2.5}}
 
* [[S:MyLanguage/J2.5:Access_Control_List_Tutorial|Mafunzo: Orodha ya Kuthibiti Maingizo (ACL)]] {{JVer|2.5}}
 
</noinclude>
 
</noinclude>
<noinclude>[[Category:Landing Pages/sw|Makurasa ya Kutua]][[Category:Access Control/sw|Uthibiti wa Maingizo]][[Category:Glossary/sw|Glossary]][[Category:Access Management/sw|Usimamizi wa Maingizo ya Majamii]][[Category:References/sw|References]]</noinclude>
+
<noinclude>[[Category:Landing Pages/sw]][[Category:Access Control]][[Category:Glossary]][[Category:Access Management]][[Category:References]]</noinclude>

Revision as of 15:19, 10 April 2014

Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎Nederlands (informeel)‎ • ‎Türkçe • ‎català • ‎dansk • ‎eesti • ‎español • ‎français • ‎italiano • ‎magyar • ‎polski • ‎português • ‎português do Brasil • ‎română • ‎Ελληνικά • ‎български • ‎русский • ‎العربية • ‎فارسی • ‎हिन्दी • ‎অসমীয়া • ‎বাংলা • ‎中文(中国大陆)‎ • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語

Kulingana na Ufafanuzi wa Wikipedia, "...orodha ya kuthibiti maingizo (Access Control List, ACL) itabainisha kuwa ni watumiaji gani (au maendeleo ya mfumo gani) wataruhisiwa kuingia kwa vyombo tofauti, na oparesheni gani wataruhusiwa kwa kiasi cha vyombo fulani". Katika kesi ya Joomla, kuna masuala mawili ya Orodha ya Kuthibiti Maingizo ambayo wasimamizi wanaweza kuthibiti:

  • Watumiaji gani wanaweza kuingia sehemu gani ya wavuti? Kwa mfano, mtumiaji maalum ataweza kuona chaguo maalum la menyu? Mtumiaji aliesajiliwa ataweza kuona, lakini waumma wengi hawataweza kuona. Pengine chaguo la menyu limefichwa kwa wote isipokuwa Mtumiaji wa Kuhariri au wa hali ya juu.
  • Oparesheni (au vitendo) gani mtumiaji ataweza kufanya kwa kiasi cha vyombo fulani? Kwa mfano, mtumiaji alieorodheshwa kama "Mhariri" ataweza kuwasilisha makala au ataweza kuhariri makala ambayo iko tayari pekee? Matayarisho ya ACL yanawaza kuruhusu mawasilisho na kuhariri, ama kuruhusu kubadilisha jamii ya makala, kuongeza matagi au machanganyiko yoyote.

Utekelezaji wa ACL katika Joomla umebadilishwa kwa kiasi kikubwa katika mfululizo wa Joomla! 2.5, ambao unaruhusu marahisisho zaidi kuhusu vikundi na maruhusa.


Matoleo

Mafunzo