Chunk

Difference between revisions of "Article/sw"

From Joomla! Documentation

(Importing a new version from external source)
Line 8: Line 8:
 
Makala ina tengezwa kwa kutumia Meneja wa Makala (angalia [[{{ns|Help{{CurrentSTSVer|minor}}}}:Content Article Manager|Meneja wa Makala wa Yaliyomo]] kwa {{JVer|{{CurrentSTSVer|minor}}}} au [[{{ns|Help{{CurrentLTSVer|minor}}}}:Content Article Manager|Meneja wa Makala wa Yaliyomo]] kwa {{JVer|{{CurrentLTSVer|minor}}}}) ambayo inaweza kupatika kwa [[S:MyLanguage/Administrator (Application)|Msimamizi (Upande wa Nyuma)]] kwa kubofya katika menyu ya Yaliyomo, kisha kitu cha menyu cha Meneja wa Makala.
 
'''Angalia pia''': [[S:MyLanguage/Category|Jamii]]<noinclude>[[Category:Glossary definitions/sw|Jamii]]</noinclude>
+
'''Angalia pia''': [[S:MyLanguage/Category|Jamii]]<noinclude>[[Category:Glossary definitions/sw|{{PAGENAME}}]]</noinclude>
 
<noinclude>
 
<noinclude>
 
== Languages ==  
 
== Languages ==  
 
<languages /></noinclude>
 
<languages /></noinclude>

Revision as of 03:02, 13 April 2014

Katika Joomla! makala ni kipande cha yaliyomo kinachotokana na maandishi ya (HTML), pengine na viungo kwa rasilimali zingine (kwa mfano, mapicha). Makala ni kitengo cha msingi wa maelezo katika mfumo wa yaliyomo na kiwango cha chini katika madaraja ya yaliyomo. Kutoka kwa Joomla! 2.5 Joomla 2.5, kila makala ni hasa ya Jamii mmoja. Jamii inaweza kua ndani ya jamii, ambayo inafanya jamii ya chini. Na pia inawezekana kua na jamii ambayo haikuazinishwa. Makala hizi ziko bila ya kuhusiana na jamii yoyote.

Kabla ya Joomla! 2.5 na toleo la kitambo, makala zilikuwa ni viwango vya tatu katika madaraja Sehemu  Majamii  Makala. Sasa makala iko kiwango cha juu na itakuwa kilamara katika kiwango cha pili au zaidi ya madaraja.

Makala ina tengezwa kwa kutumia Meneja wa Makala (angalia Meneja wa Makala wa Yaliyomo kwa Joomla 3.10 au Meneja wa Makala wa Yaliyomo kwa Joomla 2.5) ambayo inaweza kupatika kwa Msimamizi (Upande wa Nyuma) kwa kubofya katika menyu ya Yaliyomo, kisha kitu cha menyu cha Meneja wa Makala.

Angalia pia: Jamii

Languages

Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎Türkçe • ‎català • ‎dansk • ‎español • ‎français • ‎hrvatski • ‎italiano • ‎português • ‎português do Brasil • ‎svenska • ‎Ελληνικά • ‎български • ‎русский • ‎العربية • ‎ไทย • ‎中文 • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語