Lahamtindo wa Kuachilia (Cascading Style Sheet, CSS)
From Joomla! Documentation
Lahmatindo ya kuachia au CSS ina tumika kwa kudhibiti onyeso ya ukurasa kwa XHTML. Kwa mfano, faili za CSS mara nyingi itadhibiti fonti, pembezoni, rangi, grapfiki wa usuli, na mambo mengineo ya kurasa za wavuti. CSS itakuruhusu kutofautisha yaliyomo za ukurasa ya XHTML kutoka na kuonekana. Katika Joomla!, mafaili ya CSS (kwa mfano, template.css) kwa kawaida ni sehemu ya templeti.
Angalia pia: Templeti, Kurasa Darasa Suffix, Moduli Darasa Suffix