Joomla info page/sw-KE

From Joomla! Documentation

< Joomla info page
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.

Swahili[edit]

Ni nini Joomla?[edit]

Joomla ni mshindi wa tuzo la mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (Content Management System, CMS) ambayo itakuwezesha kujenga tovuti na nguvu za maombi ya online. Iliyo na vipengele vingi, pamoja na urahisi wa matumizi yake na uwezo wa maongezo yake, iliyofanya Joomla software maarufu sana ambayo inapatikana kwa tovuti. Ubora wote, Joomla ni chanzo cha wazi cha uvumbuzi ambacho ni huru kwa kila mtu. Ni pamoja na faida ya Joomla!:

  • Usasishaji rahisi
  • Matengezo rahisi ya tovuti
  • Usalama na uthabiti bora
  • Viungo vyanguvu - vyabure na vya aina ya biashara
  • Aina nyingi za templeti ni rahisi kubadilisha katika maonyesho ya tovuti yako

Wapi utapata Joomla?[edit]

Kwa Joomla 2.5: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation1_6/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6531

Kwa Joomla 3.0: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation3_x/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6550

Wapi utapata viungo?[edit]

Wapi unaweza kupata uwekaji wa kumbukumbu za Joomla?[edit]

Wapi utapata usaidizi wa Joomla?[edit]

Matukio ya mkoa / Siku za Joomla![edit]

Ujumuiya wa mitaa wa dunia nzima unaorekebisha Siku za Joomla!. Siku za Joomla! ni matukio ya kipekee kwa watumiaji, na mrada wa Joomla! ambao kawaida unavutia watazamaji wa mitaa. Maelezo zaidi: http://community.joomla.org/events/joomla-days.html

Vikundi vya watumiaji wa Joomla (Joomla User Groups, JUG)[edit]

Vikundi vya watumiaji wa Joomla vya mitaa (JUG) ni njia bora ya kuwasiliana na watu, kwa kupata usaidizi wa mrada, au kubadilisha mawazo na watumiaji wengine wa Joomla. Joomla iko kila pahali - angalia katika mtaa wako kama kuna JUG. Kama hakuna, itakubidi ufikirie kama ni mrada mzuri.

Ni vipi kusaidia katika Joomla?[edit]