Actions

LDAP

From Joomla! Documentation

Revision as of 04:33, 12 April 2014 by Ayeko (Talk | contribs)

(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Other languages: català 100% • ‎English 100% • ‎español 100% • ‎français 100% • ‎Bahasa Indonesia 100% • ‎日本語 100% • ‎Nederlands 100% • ‎Kiswahili 100%

Lightweight Directory Access Protocol (LDAP) ni protokoli ilioundwa kwa kuingiza mifumo ya orodha kwa TCP/IP. Kwa sababu hii, baadhi ya hifadhidata zitapeana kusano ya LDAP kama Saraka inayotumika ya Microsoft, Saraka ya Elektroniki (eDirectory) ya Novell, na suluhisho maalum zaidi la LDAP kama vile OpenLDAP.

Joomla! ina maktaba ya asili ya LDAP (JLDAP (imebadilishwa na JClientLDAP katika Joomla 3.x)) na plugin ya asili ya uthibitishaji ya LDAP. Huu itakuruhusu Joomla! kuthibitisha kinyume cha mifumo ya LDAP, toa kwa kifurushi na kutumia: kwa kusanidi, nenda kwa Meneja wa Plugin, na uwezeshe na kuhariri plugin ya Uthibitishaji - LDAP.

Unaweza pia kusoma mafunzo katika Anza kutoka kwa mkwaruzo wa mwanzo kwa LDAP.


Angalia pia