Actions

Chunk

Orodha ya Kuthibiti Maingizo (ACL)

This page is a translated version of a page Chunk:Access Control List and the translation is 100% complete.

Kulingana na Ufafanuzi wa Wikipedia, "...orodha ya kuthibiti maingizo (Access Control List, ACL) itabainisha kuwa ni watumiaji gani (au maendeleo ya mfumo gani) wataruhisiwa kuingia kwa vyombo tofauti, na oparesheni gani wataruhusiwa kwa kiasi cha vyombo fulani". Katika kesi ya Joomla, kuna masuala mawili ya Orodha ya Kuthibiti Maingizo ambayo wasimamizi wanaweza kuthibiti:

  • Watumiaji gani wanaweza kuingia sehemu gani ya wavuti? Kwa mfano, mtumiaji maalum ataweza kuona chaguo maalum la menyu? Mtumiaji aliesajiliwa ataweza kuona, lakini waumma wengi hawataweza kuona. Pengine chaguo la menyu limefichwa kwa wote isipokuwa Mtumiaji wa Kuhariri au wa hali ya juu.
  • Oparesheni (au vitendo) gani mtumiaji ataweza kufanya kwa kiasi cha vyombo fulani? Kwa mfano, mtumiaji alieorodheshwa kama "Mhariri" ataweza kuwasilisha makala au ataweza kuhariri makala ambayo iko tayari pekee? Matayarisho ya ACL yanawaza kuruhusu mawasilisho na kuhariri, ama kuruhusu kubadilisha jamii ya makala, kuongeza matagi au machanganyiko yoyote.

Utekelezaji wa ACL katika Joomla umebadilishwa kwa kiasi kikubwa katika mfululizo wa Joomla! 2.5, ambao unaruhusu marahisisho zaidi kuhusu vikundi na maruhusa.

Languages

Other languages:
العربية 100% • ‎български 100% • ‎català 100% • ‎dansk 40% • ‎Deutsch 100% • ‎English 100% • ‎español 100% • ‎français 100% • ‎magyar 40% • ‎Bahasa Indonesia 100% • ‎italiano 100% • ‎日本語 100% • ‎Nederlands 100% • ‎polski 100% • ‎português 100% • ‎português do Brasil 100% • ‎русский 100% • ‎svenska 20% • ‎Kiswahili 100%
Advertisement