Makala
From Joomla! Documentation
Katika Joomla! makala ni kipande cha yaliyomo kinachotokana na maandishi ya (HTML), pengine na viungo kwa rasilimali zingine (kwa mfano, mapicha). Makala ni kitengo cha msingi wa maelezo katika mfumo wa yaliyomo na kiwango cha chini katika madaraja ya yaliyomo. Kutoka kwa Joomla! 2.5 , kila makala ni hasa ya Jamii mmoja. Jamii inaweza kua ndani ya jamii, ambayo inafanya jamii ya chini. Na pia inawezekana kua na jamii ambayo haikuazinishwa. Makala hizi ziko bila ya kuhusiana na jamii yoyote.
Kabla ya Joomla! 2.5 na toleo la kitambo, makala zilikuwa ni viwango vya tatu katika madaraja Sehemu → Majamii → Makala. Sasa makala iko kiwango cha juu na itakuwa kilamara katika kiwango cha pili au zaidi ya madaraja.
- Jamii → Makala
- Jamii → Jamii ya chini → Makala
- Jamii → Jamii ya chini → Jamii ya chini → Makala
Makala ina tengezwa kwa kutumia Meneja wa Makala (angalia Meneja wa Makala wa Yaliyomo kwa au Meneja wa Makala wa Yaliyomo kwa ) ambayo inaweza kupatika kwa Msimamizi (Upande wa Nyuma) kwa kubofya katika menyu ya Yaliyomo, kisha kitu cha menyu cha Meneja wa Makala.