Kiendelezo
From Joomla! Documentation
Outdated translations are marked like this.
Kiendelezo ni paketi ya programu ambayo itakupanulia usakinishaji wako wa Joomla! kwa namna fulani. Chaguo dogo la viendelezo ni pamoja na difoti ya usakinisaji wa Joomla! – lakini pia mengi zaidi yanapatikana kutoka kwa Saraka ya Viendelezo vya Joomla!.
Usemi wa kiendelezo ni halali, na aina maalum zifuatazo za viendelezo vitapatikana (kwa mpangilio wa kiherufi):
- Komponenti (tangu ) – ongeza kazi kwa kidesturi kwa wavuti wako ambayo itaweza kuchaguliwa kutoka kwa menyu
- Lugha (tangu ) – itafafanua maongezo ya lugha kwa wavuti wako
- Maktaba (tangu ) – itatoa kazi ambayo itaweza kutumika na viendelezo vingine
- Moduli (tangu ) – itaonyesha data ambazo simuhimu katika kisanduku cha kando, inawezekana katika kurasa nyingi
- Paketi (tangu ) – itafunga viendelezo vinavyohusiana
- Plugin (tangu ) – itageuza yaliyomo katika makala au itapeana upanuzi wa kazi ya viendelezo vingine
- Templeti (tangu ) – itafafanua mtazamo, wakuhisi, na uwezo wa urambazaji wa wavuti wako
Kwa muhtasari zaidi wa aina ya viendelezo muhimu na kazi namna vinavyopeana, angalia Aina ya Viendelezo (Mafafanuo ya Ujumla).