Nafasi ya Moduli
From Joomla! Documentation
Outdated translations are marked like this.
Nafasi ya moduli ni mashiko ya kusubiri (placeholder) ndani ya templeti. Itakumbuka nafasi moya au nyingi ndani ya templeti na itamwambia maobmi ya Joomla! wapi kuweka pato kutoka kwa modli zilizopeanwa kwa nafasi maalum. Mchoraji wa templeti ako na uwezo wote juu ya nafasi za moduli. Hii itaongoza kwa aina tofauti za templeti, na nafasi ya difoti za Joomla! zilizopeanwa kwa moduli ndani ya data za mfano wa kusakinisha.
Kwa mfano, nafasi ya moduli "Kushoto" itakufafanulia kuwa upande wa kushoto wa templeti kwa kuonyesha menyu ya uramazaji wa wavuti. Hii inamanisha ikiwa moduli iliopeanwa kwa nafasi ya "Kushoto" itaonyeshwa popote mchoraji atakapo iweka hii nafasi ya moduli a "Kushoto" - si lazima kuwa upande wa kushoto wa ukurasa.