Actions

Chunk

Patch

This page is a translated version of a page Chunk:Patch and the translation is 100% complete.

Usemi wa Faili ya Patch unatumika kwa aina mbili ya faili. Wakati mwengine inatumika kwa kueleza mafaili ya nyaraka ambayo itakuruhusu kuboresha kutoka kwa toleo moja la Joomla! na kwa toleo jengine (kwa mfano, kutoka kwa toleo 1.0.0 na kwa toleo 1.0.7). Mafaili haya ya kuboresha yanajulikana kama Mapaketi ya Kusasisha

Maana nyigine ya Faili ya Patch ni aina ya faili iliotengezwa na kodi ya chanzo Programu ya Kulinda Toleo -- kwa mfano, SVN (subversion au toleo la chini), ambalo litatumika kwa kodi ya chanzo cha Joomla!. Programu ya SVN inasoma faili ya patch na tena inaweza kujibadilishia kodi ya chanzo cha mafaili ambayo yanapatichiwa.

Mafaili ya patch yanatumika kwa Kikosi cha Wadudu (Bugs) kwa kujaribu marekebisho ya wadudu (bug fixes) yaliopendekezwa. Na pia yanaweza kutumika kwa kuchangia vipengele vipya vilivyopendekezwa kwa toleo chini ya maendeleo. Kwa maelezo zaidi kuhusu muundo wa mafaili ya patch ya SVN, soma Jifunze zaidi kuhusu mafaili ya patch.

Languages

Other languages:
български 40% • ‎català 60% • ‎dansk 100% • ‎Deutsch 40% • ‎English 100% • ‎español 100% • ‎français 100% • ‎Bahasa Indonesia 100% • ‎italiano 80% • ‎日本語 20% • ‎Nederlands 100% • ‎português do Brasil 20% • ‎русский 100% • ‎svenska 20% • ‎Kiswahili 100%
Advertisement