Actions

Chunk

Mtindo wa Templeti

This page is a translated version of a page Chunk:Template style and the translation is 100% complete.

Mtindo wa templeti ni kipengele kilichoelezwa katika Joomla 2.5 ambacho kitaruhusu watumiaji kupeana mitindo tofauti ya templeti kwa vitu vya menyu vya kibinafsi. Kama difoti, Joomla! itapeana mtindo wa templeti kwa vitu vyote vya menyu wakati wa usakinishaji. Nyota ya manjano itaalamisha mtindo wa difoti ambao unatumika. Unaweza kubadilisha mtindo wa templeti wa difoti wote ama nusu kwa kupeana mitindo tofauti ya templeti kwa vitu vya menyu vinavyopendeza kwa namna ya kupata sura tofauti kwa makurasa yanyohusika.

Unaweza kuuliza mtindo wa templeti kwa vitu vya menyu kwa njia mbili.

  • Meneja wa templeti [[S:MyLanguage/Extensions  Template Manager|Viendelezo  Meneja wa Tempelti]]
  • Hariri kitu cha menyu katika [[S:MyLanguage/Menus  Menu Name  Menu item|Menyu  Jina la Menyu  Kitu cha Menyu]]

Languages

Other languages:
български 100% • ‎català 33% • ‎dansk 33% • ‎Deutsch 33% • ‎English 100% • ‎español 100% • ‎eesti 33% • ‎français 100% • ‎Bahasa Indonesia 100% • ‎italiano 33% • ‎日本語 33% • ‎Nederlands 100% • ‎português do Brasil 100% • ‎русский 100% • ‎svenska 33% • ‎Kiswahili 100%
Advertisement