JDOC

Kutafsiri Viungo

From Joomla! Documentation

This page is a translated version of the page JDOC:Translating Links and the translation is 100% complete.
Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎català • ‎eesti • ‎español • ‎français • ‎italiano • ‎português do Brasil • ‎български • ‎русский • ‎українська • ‎日本語

Kuunganisha makurasa yaliotafsiriwa ni sehemu muhimu ya urambazaji wa makurasa kwa watumiaji wetu. Ni njia haraka kutuma mtumiaji kwa ukurasa mwingine kwa maelezo zaidi kuhusu mada muhimu. Viungo hivi nilazima vitafsiriwa kwa njia maalum, kwa kuweka mtumiaji katika lugha aliochagua. Ikiwa mtu anavunjari mwongozo wa Joomla! katika lugha yake, pengine atataka kubakia kwa lugha yake, ikiwa itawezekana. Kupean kiungo kwa ukurasa wa kiingereza na ufanye kazi, lakini mtumiaji nilazima abofye kiungo cha lugha yake kwa kusoma lugha yake.

Utangulizi

Viungo vya makurasa nilazima vitafsiriwa kwa njia maalum kwa kutuma msomaji kwa ukurasa mwingine kwa lugha hiyo hiyo. Waandikaji wa kiingereza wanaweza kusaidia kwa kufuata fomati hii pia. Itakuwa nirahisi kwa watafsiri ikiwa kiungo cha sawa kiko tayari wakati wa kuanza kutafsiri.

Katika kiungo cha kawaida [[Component]] mtumiaji atatumwa kwa ukurasa wa Komponenti ikiwa atabofya kiungo. Kama kuna toleo la ukurasa uliotafsiriwa, kwa mfano kifaransa, ukurasa wa kifaransa utapakiwa katika [[Component/fr]].

Ni vipi ikiwa ukurasa wa Component/fr bado haujategezwa? Mtumiaji ataona 'kiungo chekundu', inamaanisha ukurasa haupo (kiungo cha bluu inamaanisha ukurasa uko). Labda ukurasa wa Component utatafsiriwa baadaye, lakini bado haujatafsiriwa. Kwa sababu hii, utumie kila mara Special:MyLanguage/ kama prefix ya ukurasa ulioungwa.

[[Component]] unapaswa kuandikwa kama [[S:MyLanguage/Component|Komponenti]]
 au
[[Component]] unapaswa kuandikwa kama [[Special:MyLanguage/Component|Komponenti]]

Ni vipi "Special:MyLanguage" inatumika kwa kiungo

What does Special:MyLanguage/ do? It does a few things when processing a clicked link on a page before sending the user to the page. Using the page Component as an example:

  • Gets the language the page is being viewed in.
  • Checks if the link for Component exists in French, by adding /fr to it.
    • Yes, Component/fr exists and user is sent to the page version in French;
    • No, Component/fr does not exist and user is sent to the default source language version;

Maombi ya matumizi

Watafsiri

Matayarisho katika nyaraka za Joomla! yamefanya vitu kuwa rahisi shukurani kwa ufupisho wa "Special:" katika viungo. Unaweza kutumia "S:" badala ya "Special:" katika kiungo, [[S:MyLanguage/...]].

Viungo vya kawaida vya makurasa

[[Component]] unapaswa kuandikwa kama [[S:MyLanguage/Component|<{tafsiri hii pekee}>]]
 au
[[Component]] unapaswa kuandikwa kama [[Special:MyLanguage/Component|<{tafsiri hii pekee}>]]

Viungo vya nafasi ya jina

[[JDOC:Translating Links]] unapaswsa kuandikwa kama [[S:MyLanguage/JDOC:Translating Links|<{tafsiri hii pekee}>]]
 au
[[JDOC:Translating Links]] unapaswsa kuandikwa kama [[Special:MyLanguage/JDOC:Translating Links|<{tafsiri hii pekee}>]]

Viungo vya makurasa ya jamii:

[[:Category:Glossary_definitions]] unapaswa kuandikwa kama [[S:MyLanguage/:Category:Glossary_definitions|<{tafsiri hii pekee}>]]
 au
[[:Category:Glossary_definitions]] unapaswa kuandikwa kama [[Special:MyLanguage/:Category:Glossary_definitions|<{tafsiri hii pekee}>]]

Waandishi na wahariri wa kurasa za kiingereza

Yote ya juu katika sehemu ya Watafsiri yanathamani kwa waandishi na wahariri wa kurasa za kiingerza. Unaweza kusaidia kutafsiri kwa kutengeza viungo katika toleo la kiingereza kwa kutumia pia Special:MyLanguage/ au S:MyLanguage/! Ukurasa hauhitaji kualamishwa kwa kutafsiri, au kwa sasa uko na maendeleo ya kutafsiriwa. Kama makurasa yataongezwa kwa foleni ya kutafsiri, watafsiri watakuwa na urahisi wa kutafsiri viungo katika ukurasa.