Bustani ya Michezo
From Joomla! Documentation
Hii ni bustani yetu ya michezo. Ni sehemu nzuri sana kwa kucheza na kusano ya kutafsiri, baada ya kusajili kama mtafsiri.
Ni vipi nitashusha Joomla?
Ni rahisi kushusha Joomla! Nenda tu kwa joomla.org na bofya kibonyezo cha kushusha.
Ni nini baadhi ya uwezo wa Joomla?
Usimamizi wa watumiaji - Joomla ina mfumo wa kusajili ambao utaruhusu watumiaji kusanidi machaguo yao ya kibinafsi.
Usimamizi wa vyombo vya habari - Meneja wa Vyombo vya Habari ni chombo kwa kusimamia mafaili na mafolda ya vyombo vya habari, na unaweza kusanidi matayarisho ya aina ya MIME kwa shugulika za kila aina ya faili.
Usimamizi wa lugha - Kuna usaidizi wa kimataifa kwa lugha nyingi katika dunia, na zitakodiwa na UTF-8.
Usimamizi wa mabanna - Ni rahisi kujenga mabanna katika wavuti wako kwa kututumia Meneja wa Mabanna - kwanza kwa kutengeza maelezo ya mteja. Usimamizi wa mawasiliano - Meneja wa Mawasiliano atasaidia watumiaji wako kupata mtu wa sawa pamoja na maelezo yake. Pia itasaidia fomu za mawasiliano mengi kwenda kwa mtu maalum au kwa vikundi.
Utafutaji - Saidia kwa kuchukua watumiaji kwa vitu vinavyopendwa sana vya utafutaji, na peana takwimu ya kutafuta kwa msimamizi.
Usimamizi wa viungo vya mtandao - Ni rahisi kupeana rasilimali ya viungo kwa watumiaji wa wavuti, na unaweza kuwapanga hao kwa majamii hata ikiwa ni kwa kuhesabu ya kila ubofyaji.
Usimamizi wa yaliomo - Mfumo rahisi wa Joomla umetengezwa kutokana na nguzo tatu, kwa hivyo kupanga yaliomo yako ni kama mchezo.
Ulandishaji na usimamizi wa feed za habari - Katika Joomla, ni rahisi kulandisha yaliomo ya wavuti wako. Hii itarahishisha watumiaji wako kujiandikisha kwa yaliomo mapya kwa msomaji wa RSS anaevutiwa. Usimamizi wa menyu - Msimamizi wa Menyu atakuruhusu kutengeza menyu na vitu vya menyu vingi kama unavyo hitaji.
Usimamizi wa templeti - Matempleti ya Joomla yana njia ya nguvu ya kutengeza wavuti wako na kuonekana kama unavyotaka, na kwa kutengeza ama templeti mmoja kwa wavuti vote ama templeti tofauti kwa kila sehemu ya wavuti.
Mfumo wa kusaidia una patikana sasa - Joomla iko na sehemu ya usaidizi kwa msaada wa watumiaji kupata wanachotaka.
Vipengele vya mfumo - Makurasa yanaweza kupakiwa upesi sana kwa sababu ya kukashe kwa kurasa, kukashe kwa moduli katika kiwango laini, na ubanaji wa kurasa na GZIP.
Mahuduma kwa mitandao - Kwa njia ya mahuduma kwa mitandao, unaweza kutumia Remote Procedure Calls (kwa kupitia HTTP na XML).
Na yote yalio juu ya Nguvu ya Mapanuaji.
Usaidizi wa Joomla na maorodha ya barua pepe
Unaweza kupata usaidizi kwa majadiliano yetu, au unaweza kujiunga na maorodha yetu ya barua pepe kwa http://www.joomla.org/mailing-lists.html.