Joomla info page/sw-KE

From Joomla! Documentation

< Joomla info page

Swahili

Ni nini Joomla?

Joomla ni mshindi wa tuzo la mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (Content Management System, CMS) ni cms ambazo zitakuwezesha kujenga wavuti wa nguvu sana, na kuweza kubadilisha online, na pia zina kasi nyingi sana kwa wavuti. Ziko na vipengele vingi sana, pamoja na urahisi wa matumizi yake na uwezo wa maongezeko yake, zilifanya Joomla kuwa programu maarufu sana, Je ushabadilisha wavuti wako kwa Joomla. Ubora wote, Joomla ni chanzo cha wazi cha uvumbuzi ambacho ni huru kwa kila mtu. Na pamoja na faida ya Joomla! ni:

  • Usasishaji rahisi
  • Utengezaji rahisi wa wavuti
  • Usalama na umadhubuti bora
  • Viendelezo vyanguvu - vyabure na pia vya kibiashara
  • Aina nyingi za templeti na ni rahisi sana kubadilisha katika maonyesho ya wavuti wako

Wapi utapata Joomla?

Wapi utapata viendelezo?

Wapi unaweza kupata uwekaji wa kumbukumbu za Joomla?

Wapi utapata usaidizi wa Joomla?

Matukio ya mkoa / Siku za Joomla!

Ujumuiya wa mitaa wa dunia nzima unaorekebisha Siku za Joomla!. Siku za Joomla! ni matukio ya kipekee kwa watumiaji, na mrada wa Joomla! ambao kawaida unavutia watazamaji wa mitaa. Kwa maelezo zaidi: http://community.joomla.org/events

Vikundi vya watumiaji wa Joomla (Joomla User Groups, JUG)

Vikundi vya watumiaji wa Joomla vya mitaa (JUG) ni njia bora ya kuwasiliana na watu, kwa kupata usaidizi wa mrada, au kubadilisha mawazo na watumiaji wengine wa Joomla. Joomla iko karibu kila sehemu duniani - angalia katika mtaa wako kama kuna JUG. Kama hakuna, itakubidi ufikirie kama ni mrada mzuri.

Ni vipi kusaidia katika Joomla?