Lugha

From Joomla! Documentation

This page is a translated version of the page Language and the translation is 100% complete.

Other languages:
български • ‎català • ‎Deutsch • ‎English • ‎español • ‎eesti • ‎français • ‎Bahasa Indonesia • ‎italiano • ‎日本語 • ‎Nederlands • ‎português • ‎Kiswahili • ‎中文(台灣)‎

Lugha pengine ni aina za viendelezo vya msingi muhimu na za haki. Lugha zimepangwa kama paketi za ukuu za lugha ama paketi ya lugha ya kiendelezo. Mapaketi haya yanatokana na mafaili ya INI ambayo niyenye majozi ya funguo/thamani. Majozi haya yanapeana utafsiri wa masharti ya maandishi ndani ya msimbo wa chanzo ya Joomla!. Hii itaruhusu ukuu wa Joomla! na komponenti au moduli za mkono wa tatu kuwa za kimataifa. Mapaketi ya lugha ya ukuu pia yatakua faili ya meta ya XML ambayo inaeleza lugha na inapeana maelezo kuhusu fonti kwa kutumia kwa kutengeza yaliyomo ya PDF.


Mapaketi wa lugha yana viendelezo ambavyo vitapeana tafsiri kwa mfumo wa Joomla!. Joomla! 1.5 au juu itaunga mkono kwa makusano ya wavuti na ya mzimamizi ambaye anaweza kutafsiriwa kwa ujumla. Kwa sababu hii, kuna aina mbili za mapaketi ya lugha: moja la wavuti na jengine la msimamizi. Joomla! 1.5.4 au juu itaunga mkono kwa mapaketi ya lugha yalio na wavuti pamoja na msimamizi ndani ya paketi hio. [1].

Marejeo

  1. Joomla! 1.5.4 Tangazo la Utoaji