Nafasi ya Moduli

From Joomla! Documentation

This page is a translated version of the page Module Position and the translation is 100% complete.

Other languages:
català • ‎English • ‎español • ‎français • ‎hrvatski • ‎Bahasa Indonesia • ‎日本語 • ‎Nederlands • ‎русский • ‎Kiswahili

A module position is a placeholder in a template. Placeholders identify one or several positions within the template and tell the Joomla! application where to place output from modules assigned to a particular position. The template designer has complete control over module positions, creating variations between templates and the respective Joomla! default positions assigned to modules in the installation sample data.

Kwa mfano, nafasi ya moduli "Kushoto" itakufafanulia kuwa upande wa kushoto wa templeti kwa kuonyesha menyu ya uramazaji wa wavuti. Hii inamanisha ikiwa moduli iliopeanwa kwa nafasi ya "Kushoto" itaonyeshwa popote mchoraji atakapo iweka hii nafasi ya moduli a "Kushoto" - si lazima kuwa upande wa kushoto wa ukurasa.


Kuelewa nafasi ya moduli

Watumiaji na wasimamizi wa Joomla! wanatakiwa kuelewa yafuatayo pekee:

  • Mamoduli ni nafasi zilizostawi ambazo zinatowa amuru na mwendelezaji wa templeti wakati wa kuendeleza templeti.
  • Mamoduli yanaweza kuwashwa na kuzimwa yanatokana na chaguo la menyu.
  • Mamoduli yanaweza kupangwa tena katika nafasi zao kwa kutumia Meneja wa Moduli.

Namna ya kuweza kuonyesha

Itawezekana kuonyesha mamoduli yote yaliowekwa katika templeti kwa kuitwa sharti ya swali "tp=1" katika upande wa mbele.

http://www.example.com/index.php?tp=1

Joomla 2.5 Joomla 2.5 na Joomla 3.x Joomla 3.x yataonyesha nafasi za moduli ikiwa kuna ?tp=1 au &tp=1 na ikiwa jinsi ya Kutazama Nafasi za Moduli iliowekwa katika Meneja wa Templeti:

  • Viendelezo  Meneja wa Templeti na tena bofya kibonyezo cha Machaguo katika upauzana.
  • Juu ya tabi ya Templeti, hakikisha kuwa Tazama Nafasi za Moduli imewekwa kwa Imewezeshwa.

Ramani za moduli

Picha hapo chini onyesha mfano wa ramani za moduli ikiwa kuramanisha imewezeshwa katika templeti ya msimamizi.

Nafasi za mamoduli katika templeti ya difoti ya Joomla! 1.5