Patch

From Joomla! Documentation

This page is a translated version of the page Patch and the translation is 100% complete.
Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎català • ‎español • ‎français • ‎日本語

Usemi wa Faili ya Patch unatumika kwa aina mbili ya faili. Wakati mwengine inatumika kwa kueleza mafaili ya nyaraka ambayo itakuruhusu kuboresha kutoka kwa toleo moja la Joomla! na kwa toleo jengine (kwa mfano, kutoka kwa toleo 1.0.0 na kwa toleo 1.0.7). Mafaili haya ya kuboresha yanajulikana kama Mapaketi ya Kusasisha Maana nyigine ya Faili ya Patch ni aina ya faili iliotengezwa na kodi ya chanzo Programu ya Kulinda Toleo -- kwa mfano, SVN (subversion au toleo la chini), ambalo litatumika kwa kodi ya chanzo cha Joomla!. Programu ya SVN inasoma faili ya patch na tena inaweza kujibadilishia kodi ya chanzo cha mafaili ambayo yanapatichiwa.

Mafaili ya patch yanatumika kwa Kikosi cha Wadudu (Bugs) kwa kujaribu marekebisho ya wadudu (bug fixes) yaliopendekezwa. Na pia yanaweza kutumika kwa kuchangia vipengele vipya vilivyopendekezwa kwa toleo chini ya maendeleo. Kwa maelezo zaidi kuhusu muundo wa mafaili ya patch ya SVN, soma Jifunze zaidi kuhusu mafaili ya patch.


Angalia pia