Mtindo wa Templeti
From Joomla! Documentation
Mtindo wa templeti ni kipengele kilichoelezwa katika ambacho kitaruhusu watumiaji kupeana mitindo tofauti ya templeti kwa vitu vya menyu vya kibinafsi. Kama difoti, Joomla! itapeana mtindo wa templeti kwa vitu vyote vya menyu wakati wa usakinishaji. Nyota ya manjano itaalamisha mtindo wa difoti ambao unatumika. Unaweza kubadilisha mtindo wa templeti wa difoti wote ama nusu kwa kupeana mitindo tofauti ya templeti kwa vitu vya menyu vinavyopendeza kwa namna ya kupata sura tofauti kwa makurasa yanyohusika.
Unaweza kuuliza mtindo wa templeti kwa vitu vya menyu kwa njia mbili.
- Meneja wa templeti [[S:MyLanguage/Extensions → Template Manager|Viendelezo → Meneja wa Tempelti]]
- Hariri kitu cha menyu katika [[S:MyLanguage/Menus → Menu Name → Menu item|Menyu → Jina la Menyu → Kitu cha Menyu]]
Angalia pia: Ni vipi kupeana zaida templeti moja kwa upande wa mbele