Actions

Translations

Chunk:Article/3/sw

From Joomla! Documentation

Makala ina tengezwa kwa kutumia Meneja wa Makala (angalia Meneja wa Makala wa Yaliyomo kwa Joomla 3.4 au Meneja wa Makala wa Yaliyomo kwa Joomla 2.5) ambayo inaweza kupatika kwa Msimamizi (Upande wa Nyuma) kwa kubofya katika menyu ya Yaliyomo, kisha kitu cha menyu cha Meneja wa Makala.