Translations

Module/1/sw

From Joomla! Documentation

Moduli ni viendelezo vyepesi na rahisi vinavyotumika kwa kutoa kurasa. Moduli hizi mara nyingi ni kama "visanduku" vilivyopangwa kiduara kwa komponenti katika ukurasa wa kawaida. Mfano maarufu sana ni moduli ya kuingia. Moduli zinapeanwa kwa kitu cha menyu, kwa hivyo unaweza kuamua kuonyesha au kuficha (kwa mfano) moduli ya kuingia, itategemea na kurasa (kitu cha menyu) gani mtumiaji yuko kwa sasa. Baadhi ya moduli zimeunganishwa na komponenti: moduli ya “habari za karibuni”, kwa mfano, unganisha kwa komponenti ya yaliyomo (com_content) na onyesha viungo kwa vitu vya yaliyomo mapya. Kwa vyovyote, moduli hazi hitaji kuunganisha na komponenti; hakuna hata haja ya kuunganishwa na kitu chochote na unaweza kuwa HTML ya tuli au maandishi.

Moduli zinavyosimamiwa katika mtazamo wa Msimamizi wa Joomla! na Menega wa Moduli. Habari zaidi kuhusu usimamizi wa moduli zinaweza kupatikana kwenye toleo la mwafaka wa skrini ya usaidizi.

Angalia pia: Komponenti, Plugin, Templeti