Translations

Plugin/8/sw

From Joomla! Documentation

Plugin zimepangwa kwa vikundi, itategemea na tukio ambapo zinatumika. Hapa unaweza kupata orodha kamili ya plugin ambazo zimepangwa kwa vikundi kwa aina ya tukio (majina ya matukio mengi yamebadilishwa kutoka Joomla 1.5 na kwenda kwa Joomla 2.5 - angalia hapa kwa orodha kamili ya mabadilisho). Pia kuna mafunzo rahisi ya aina mbalimbali ya kueleza ni vipi baadhi ya plugin za mifano zinatumika kwa baadhi ya matukio haya katika matafutaji ambayo yanatumia komponenti ya Tafuta pamoja na komponenti ya Tafuta kijanja.