Jina Bandia

From Joomla! Documentation

Revision as of 05:49, 12 April 2014 by Ayeko (talk | contribs)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎Nederlands (informeel)‎ • ‎Türkçe • ‎català • ‎dansk • ‎español • ‎français • ‎italiano • ‎magyar • ‎polski • ‎português • ‎português do Brasil • ‎български • ‎русский • ‎فارسی • ‎हिन्दी • ‎বাংলা • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語

Majina bandia ni vipande vifupi vya maandishi ambayo yanawakilisha kichwa cha baadhi cha vitu (Vitu vya menyu, Makala na Jamii) kwa fomati inayofaa kwa mashini. Fomari hii inaruhusu herufi ndogo na dashes (-) pekee.

Majina bandia yanatumika na Joomla kwa kufanya URL Unaofaa kwa Mashini ya Kutafuta (SEF URLs). Kuna mipaka ya kifundi kwa aina ya herufi ambazo zinaweza kutumika katika URL, kwa hivyo Joomla inatahadhari masuala na shida za herufi batili, kwa kukuruhusu kuweza kubayana jina bandia.

Unaweza kuweka jina bandia wewe wenyewe. Ikiwacha tupu eneo la jina bandia, Joomla itajitengeza jina bandia kutoka kwa eneo la Kichwa cha kitu kikiwa kimehifadhiwa. Hii inamaanisha kuwa, ukihariri kichwa cha kitu, lakini utaacha jina bandia la zamani, jina bandia (na URL yaliotengezwa kutoka kwa eneo hili) hayatabadilishika. Weka wazi eneo la jina bandia ikiwa unataka kuzalisha jina bandia jipya.

Angalia pia