Lahamtindo wa Kuachilia (Cascading Style Sheet, CSS)

From Joomla! Documentation

Revision as of 07:55, 12 April 2014 by Ayeko (talk | contribs)
Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎Türkçe • ‎català • ‎español • ‎français • ‎italiano • ‎български • ‎русский • ‎हिन्दी • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語

Lahamtindo wa kuachia au CSS unatumika kwa kudhibiti onyeso la ukurasa kwa XHTML. Kwa mfano, faili za CSS kila mara zinadhibiti fonti, pembezote, rangi, grapfiki za usuli, na mambo mengineo ya kurasa za wavuti. CSS ziitakuruhusu kutofautisha yaliyomo ya ukurasa wa XHTML kutoka na kuonekana. Katika Joomla!, mafaili ya CSS (kwa mfano, templeti ya.css) kwa kawaida ni sehemu ya templeti.

Angalia pia: Templeti, Suffix ya Darasa la Ukurasa, Suffix ya Darasa la Moduli


Maelezo ya Ziada

Lahamtindo wa Kuachilia (Cascading Style Sheets, CSS) unatumika zaidi kwa lugha za lahamtindo katika wavuti wote wa dunia, na umewekwa sawa sawa na World Wide Web Consortium(W3C) na unaweza kutumika kwa mitindo ya aina yoyote kwa hati ya XML, pamoja na HTML, SVG na XUL.

Uliofahamishwa kwa kurahisisha migawanyo ya yalioyomo (yalioandikwa na XML markup) na utoaji (ulioandikwa na CSS) wa mahati. CSS unaweza kutumika kwa kufafanua na kubadilisha karibu sura zote za hati, kama rangi, ukubwa/aina ya fonti, njia za maandishi, ukubwa/nafasi ya maelementi, na kadhalika.

CSS pia inaweza kutumika kwa kustawisha upatikanaji wa mahati. Na unapeana ujanja kwa kuonyesha XML markup sawa kwa njia tofauti, umeboreshwa kwa bidhaa tofauti, kama wasomaji wa skrini, visakuzi vinavyosema, maprinta, na bidhaa za hisi ya mashiko (Braille kwa wasioona).

CSS ya Ukuu wa Joomla!

Joomla inapeana sifa nyingi kwa madarasa na vitambulisho katika pato la HTML. Zinaweza kutumika kwa kubadilisha mawakilisho kupitia mafafanuo ya CSS kwa madarasa na vitambulisho kama ilivyosemwa.