Kiendelezo
From Joomla! Documentation
Kiendelezo ni paketi ya programu ambayo itakupanulia usakinishaji wako wa Joomla! kwa namna fulani. Chaguo dogo la viendelezo ni pamoja na difoti ya usakinisaji wa Joomla! – lakini pia mengi zaidi yanapatikana kutoka kwa Saraka ya Viendelezo vya Joomla!.
Usemi wa kiendelezo ni halali, na aina maalum zifuatazo za viendelezo vitapatikana (kwa mpangilio wa kiherufi):
- Komponenti (tangu
) – ongeza kazi kwa kidesturi kwa wavuti wako ambayo itaweza kuchaguliwa kutoka kwa menyu
- Lugha (tangu
) – itafafanua maongezo ya lugha kwa wavuti wako
- Maktaba (tangu
) – itatoa kazi ambayo itaweza kutumika na viendelezo vingine
- Moduli (tangu
) – itaonyesha data ambazo simuhimu katika kisanduku cha kando, inawezekana katika kurasa nyingi
- Paketi (tangu
) – itafunga viendelezo vinavyohusiana
- Plugin (tangu
) – itageuza yaliyomo katika makala au itapeana upanuzi wa kazi ya viendelezo vingine
- Templeti (tangu
) – itafafanua mtazamo, wakuhisi, na uwezo wa urambazaji wa wavuti wako
Kwa muhtasari zaidi wa aina ya viendelezo muhimu na kazi namna vinavyopeana, angalia Aina ya Viendelezo (Mafafanuo ya Ujumla).