Komponenti

From Joomla! Documentation

Revision as of 01:42, 13 April 2014 by Ayeko (talk | contribs)
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎Türkçe • ‎català • ‎eesti • ‎español • ‎français • ‎hrvatski • ‎italiano • ‎português • ‎português do Brasil • ‎русский • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語

Komponeti ni aina ya kiendelezo kiendelezo cha Joomla!. Komponenti ni vitengo vikuu katika kazi ya Joomla!; vinaweza kuonekana kama maombi madogo. ni Mlinganisho rahisi ulio utakuwa kwamba Joomla! ni mfumo wa uendeshaji na komponeti itakuwa ni maombi ya desktop. Kwa kawaida yataonyeshwa katikati eneo kuu la yaliyomo la templeti (itategemea na templeti).

Komponenti nyingi ziko na sehemu kuu mbili: kama sehemu ya msimamizi na sehemu ya tovuti. Sehemu ya tovuti inatumika kwa kutoa kurasa ikiitwa wakati wa utendaji wa kawaida wa tovuti. Sehemu ya msimamizi inapeana kusano ya kusanidi na kusimamia masuala tofauti ya komponenti na yanayopatikana kutoka kwa maombi ya msimamizi wa Joomla!.

Joomla! inakuja na idadi za komponeti za kiini, kama mfumo wa usimamizi wa yaliyomo, fomu ya mawasiliano na viungo vya mitandao.

Angalia pia: Moduli, Plugin, Templeti


Kisomo Kilichopendekezwa

Waendelezaji

Kuna makala, mafunzo na kumbukumbu nyingi na maswala mengi ya kila mara (FAQ) ambayo yanalenga uendelezo wa komponenti. Ikiwa hii ni mara yako ya kwanza kuendeleza komponenti ya Joomla, inakupasa uanze na Daraja la Kwanza Kabisa kuhusu ni Vipi Komponenti Inafanya Kazi. Ikiwa unatakiwa, utaweza kuona vile maendeleo ya uthibiti yanavyoendelea kwa msaada wa vielezo hivi.

Mengini, pengine utapenda kusoma mafunzo yetu ya MVC    kwa  Joomla 2.5 Joomla 3.x ambayo yanaitwa Kuendeleza Komponenti ya Mtawala wa Mtazamo wa Modeli.

Baada ya ukisoma mafunzo na/au ukishajaribu komponenti ya mfano, unaweza kuzingatia zaidi katika bidhaa maalum za komponenti yako kwa kusoma makala zaidi. Makala haya yameorodheshwa katika Lango la Kuendeleza Komponenti.