Actions

Difference between revisions of "Module/sw"

From Joomla! Documentation

(Importing a new version from external source)
(Updating to match new version of source page)
 
(9 intermediate revisions by 2 users not shown)
Line 1: Line 1:
 
<noinclude><languages /></noinclude>
 
<noinclude><languages /></noinclude>
{{Chunk:Module/sw|Moduli}}
+
{{Chunk:Module/sw}}
  
 
==Kujifunza Saidi==
 
==Kujifunza Saidi==
  
 
===Nafasi za Moduli===
 
===Nafasi za Moduli===
{{Chunk:Module Position/sw|Nafasi ya moduli}}
+
{{Chunk:Module Position/sw}}
  
 
==Usomaji uliopendekezwa==
 
==Usomaji uliopendekezwa==
 
Mamoduli ni mojawapo ya kipande rahisi cha Joomla na ni sehemu bora ya kuanzia kwa watu wanaojifunza kwa kutumia mfumo (uliosawa na widgets katika wordpress). Yanaweza kuonyeshwa kwa [[S:MyLanguage/Module_positions|kila pahali pa ukurasa]] (kwa kila nafasi inayoruhusiwa na templeti, na katika eneo kubwa la yaliomo kwa kutumia [[S:MyLanguage/How do you put a module inside an article?|plugin ya loadmodule]] kwa komponenti ya com_content).
 
Mamoduli ni mojawapo ya kipande rahisi cha Joomla na ni sehemu bora ya kuanzia kwa watu wanaojifunza kwa kutumia mfumo (uliosawa na widgets katika wordpress). Yanaweza kuonyeshwa kwa [[S:MyLanguage/Module_positions|kila pahali pa ukurasa]] (kwa kila nafasi inayoruhusiwa na templeti, na katika eneo kubwa la yaliomo kwa kutumia [[S:MyLanguage/How do you put a module inside an article?|plugin ya loadmodule]] kwa komponenti ya com_content).
  
=== Wanaoanza ===
+
=== Beginner ===
Kuelewa ni vipi kusakinisha na kutumia moduli katika Joomla, unapendekezwa kusoma [[Usimamizi wa Moduli ya Joomla]]
+
To understand how to install and use a module in Joomla it is recommended to read [[S:MyLanguage/Help34:Extensions_Module_Manager|Module Manager]].
 +
You can read also [[Help33:Extensions_Module_Manager_Custom_HTML|Module Manager Custom HTML]] for an example.
  
 
=== Wanaoanza/Wakatikati ===
 
=== Wanaoanza/Wakatikati ===
 
Kutengeza moduli rahisi ya Joomla ni mojawapo ya hatua rahisi ambayo unaweza kufanya. Mafunzo [[S:MyLanguage/Creating a simple module|Kutengeza Moduli Rahisi]] yametekelezwa kwa kuonyesha njia zote. Yanaanza na moduli rahisi, na tena yanaonyesha mambo madogo ambayo unaweza kuyatekeleza na moduli.
 
Kutengeza moduli rahisi ya Joomla ni mojawapo ya hatua rahisi ambayo unaweza kufanya. Mafunzo [[S:MyLanguage/Creating a simple module|Kutengeza Moduli Rahisi]] yametekelezwa kwa kuonyesha njia zote. Yanaanza na moduli rahisi, na tena yanaonyesha mambo madogo ambayo unaweza kuyatekeleza na moduli.
  
=== Waliowanajua ===
+
=== Advanced ===
Kipengele kipya cha Joomla 3.2 ni komponenti iliojificha ambayo inaruhusu mamoduli kutengeza maombi ya AJAX. Unaweza kupata nyaraka kuhusu [[S:MyLanguage/Using the AJAX component|kutumia komponenti ya AJAX]] kwa kusaidia kutengeza mamoduli mazuri sana.
+
Introduced into Joomla 3.2 is a hidden component that allows modules to create AJAX requests. You can find documentation about [[Using_Joomla_Ajax_Interface|Using Joomla Ajax Interface]] to help you create even better modules.
  
 
==Mamoduli ya difoti ya Joomla!==
 
==Mamoduli ya difoti ya Joomla!==
Line 28: Line 29:
 
*Mabanna {{Rarr}} Moduli ya mabanna inaonyesha mabanna yanaotumika kwa sasa kutoka kwa komponenti.
 
*Mabanna {{Rarr}} Moduli ya mabanna inaonyesha mabanna yanaotumika kwa sasa kutoka kwa komponenti.
 
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Breadcrumbs|Breadcrumbs]] {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha breadcrumbs
 
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Breadcrumbs|Breadcrumbs]] {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha breadcrumbs
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Custom_HTML|Custom HTML]] {{Rarr}} Moduli hii inakuruhusu kwa kutengeza moduli yako ya HTML kwa kutumia mhariri wa WYSIWYG.
+
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Custom_HTML|HTML ya desturi]] {{Rarr}} Moduli hii inakuruhusu kwa kutengeza moduli yako ya HTML kwa kutumia mhariri wa WYSIWYG.
 
*Onyesho la Feed {{Rarr}} Moduli hii inaruhusu kuonyesha feed iliyolandishwa
 
*Onyesho la Feed {{Rarr}} Moduli hii inaruhusu kuonyesha feed iliyolandishwa
 
*Kijajuu {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha taarifa ya hakimiliki ya Joomla!
 
*Kijajuu {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha taarifa ya hakimiliki ya Joomla!
Line 41: Line 42:
 
*Tafuta {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha kisanduku cha kutafuta.
 
*Tafuta {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha kisanduku cha kutafuta.
 
*Matagi yanayofanana {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha viungo kwa vitu vingini na matagi yanayofanana....
 
*Matagi yanayofanana {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha viungo kwa vitu vingini na matagi yanayofanana....
*Moduli ya Tafuta kijanja {{Rarr}} Hii ni moduli ya kutafuta kwa mfuma wa tafuta kijanja.
+
*Moduli ya Tafuta kijanja {{Rarr}} Hii ni moduli ya kutafuta kwa mfumo wa tafuta kijanja.
 
*Takwimu {{Rarr}} Moduli ya matakwimu inaonyesha maelezo kuhusu usakinishaji wako wa seva pamoja na...
 
*Takwimu {{Rarr}} Moduli ya matakwimu inaonyesha maelezo kuhusu usakinishaji wako wa seva pamoja na...
 
*Feeds ya Ulandishaji {{Rarr}} Moduli ya kijanja ya kulandisha ambayo inatengeza feed ya ulandishaji kwa ukurasa ambapo moduli...
 
*Feeds ya Ulandishaji {{Rarr}} Moduli ya kijanja ya kulandisha ambayo inatengeza feed ya ulandishaji kwa ukurasa ambapo moduli...
Line 48: Line 49:
 
*Kipindo {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha dirisha la iframe katika nafasi iliotajwa.
 
*Kipindo {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha dirisha la iframe katika nafasi iliotajwa.
  
[[Category:Extensions/sw| Moduli]][[Category:Landing Pages/sw|Makurasa ya Kutua]][[Category:Glossary/sw|Glossary]][[Category:JED/sw|JED]]
+
[[Category:Extensions| Module]][[Category:Landing Pages]][[Category:Glossary]]

Latest revision as of 08:55, 7 May 2015

Other languages:
български • ‎català • ‎English • ‎español • ‎français • ‎Bahasa Indonesia • ‎italiano • ‎日本語 • ‎Nederlands • ‎português do Brasil • ‎Kiswahili

Moduli ni viendelezo vyepesi na rahisi vinavyotumika kwa kutoa kurasa. Moduli hizi mara nyingi ni kama "visanduku" vilivyopangwa kiduara kwa komponenti katika ukurasa wa kawaida. Mfano maarufu sana ni moduli ya kuingia. Moduli zinapeanwa kwa kitu cha menyu, kwa hivyo unaweza kuamua kuonyesha au kuficha (kwa mfano) moduli ya kuingia, itategemea na kurasa (kitu cha menyu) gani mtumiaji yuko kwa sasa. Baadhi ya moduli zimeunganishwa na komponenti: moduli ya “habari za karibuni”, kwa mfano, unganisha kwa komponenti ya yaliyomo (com_content) na onyesha viungo kwa vitu vya yaliyomo mapya. Kwa vyovyote, moduli hazi hitaji kuunganisha na komponenti; hakuna hata haja ya kuunganishwa na kitu chochote na unaweza kuwa HTML ya tuli au maandishi.

Modules are managed in the Joomla! Administrator view by the Module Manager. More information about module management can be found on the appropriate version help screens.

Angalia pia: Komponenti, Plugin, Templeti


Kujifunza Saidi

Nafasi za Moduli

A module position is a placeholder in a template. Placeholders identify one or several positions within the template and tell the Joomla! application where to place output from modules assigned to a particular position. The template designer has complete control over module positions, creating variations between templates and the respective Joomla! default positions assigned to modules in the installation sample data.

Kwa mfano, nafasi ya moduli "Kushoto" itakufafanulia kuwa upande wa kushoto wa templeti kwa kuonyesha menyu ya uramazaji wa wavuti. Hii inamanisha ikiwa moduli iliopeanwa kwa nafasi ya "Kushoto" itaonyeshwa popote mchoraji atakapo iweka hii nafasi ya moduli a "Kushoto" - si lazima kuwa upande wa kushoto wa ukurasa.


Usomaji uliopendekezwa

Mamoduli ni mojawapo ya kipande rahisi cha Joomla na ni sehemu bora ya kuanzia kwa watu wanaojifunza kwa kutumia mfumo (uliosawa na widgets katika wordpress). Yanaweza kuonyeshwa kwa kila pahali pa ukurasa (kwa kila nafasi inayoruhusiwa na templeti, na katika eneo kubwa la yaliomo kwa kutumia plugin ya loadmodule kwa komponenti ya com_content).

Beginner

To understand how to install and use a module in Joomla it is recommended to read Module Manager. You can read also Module Manager Custom HTML for an example.

Wanaoanza/Wakatikati

Kutengeza moduli rahisi ya Joomla ni mojawapo ya hatua rahisi ambayo unaweza kufanya. Mafunzo Kutengeza Moduli Rahisi yametekelezwa kwa kuonyesha njia zote. Yanaanza na moduli rahisi, na tena yanaonyesha mambo madogo ambayo unaweza kuyatekeleza na moduli.

Advanced

Introduced into Joomla 3.2 is a hidden component that allows modules to create AJAX requests. You can find documentation about Using Joomla Ajax Interface to help you create even better modules.

Mamoduli ya difoti ya Joomla!

Joomla! imejazwa pamoja na moduli nyingi, na moduli zaidi zinapatikana kutoka kwa JED (Joomla! saraka ya viendelezo). Hapa kuna viendelezo vya akwaida vinapatikana katika usakinishaji mpya wa Joomla!

 • Makala yamenyarakishwa    Moduli hii inaonyesha orodha ya miezi ya kalenda ambayo ina makala yalionyarakishwa.
 • Makala - Habari za kumwilika    Moduli ya makala ya habari za kumwilika inaonyesha idadi kamili ya makala kutoka kwa jamii maalum.
 • Makala - Makala yanayohusiana    Moduli hii inaonyesha makala mengine yanayohusiana na makala ambayo kwa sasa yanaonekana....
 • Majamii ya Makala    Moduli hii inaonyesha orodha ya majamii kutoka kwa jamii moja ya mzazi.
 • Jamii ya Makala    Moduli hii inaonyesha orodha ya makala kutoka kwa jamii moja au nyingi.
 • Mabanna    Moduli ya mabanna inaonyesha mabanna yanaotumika kwa sasa kutoka kwa komponenti.
 • Breadcrumbs    Moduli hii inaonyesha breadcrumbs
 • HTML ya desturi    Moduli hii inakuruhusu kwa kutengeza moduli yako ya HTML kwa kutumia mhariri wa WYSIWYG.
 • Onyesho la Feed    Moduli hii inaruhusu kuonyesha feed iliyolandishwa
 • Kijajuu    Moduli hii inaonyesha taarifa ya hakimiliki ya Joomla!
 • Switcha ya Lugha    Moduli hii inaonyesha orodha ya malugha yanayopatikana ya yaliomo (kama yaliofafanuliwa na yaliochapishwa katika...)
 • Habari za hivi karibuni    Moduli hii inaonyesha orodha ya makala yaliochapishwa karibuni na makala ya sasa....
 • Watumiaji wa hivi karibuni    Moduli hii inaonyesha watumiaji waliosajiliwa karibuni
 • Ingia    Moduli hii inaonyesha fomu ya kuingia kwa kutumia jina la mtumiaji na nenosiri. Pia inaonyesha kiungo kwa...
 • Menyu    Moduli hii inaonyesha menyu katika upande wa mbele.
 • Yaliomo yanayosomwa zaidi    Moduli hii inaonyesha orodha ya makala yanayochapishwa sasa ambayo yana ...
 • Matagi Maarufu    Moduli ya matagi maarufi inaonyesha matagi yanayotumika sana, kwa hiari pamoja na...
 • Picha bila mpangilio    Moduli hii inaonyesha mapicha bila ya mpangilio kutoka kwa saraka uliochaua.
 • Tafuta    Moduli hii inaonyesha kisanduku cha kutafuta.
 • Matagi yanayofanana    Moduli hii inaonyesha viungo kwa vitu vingini na matagi yanayofanana....
 • Moduli ya Tafuta kijanja    Hii ni moduli ya kutafuta kwa mfumo wa tafuta kijanja.
 • Takwimu    Moduli ya matakwimu inaonyesha maelezo kuhusu usakinishaji wako wa seva pamoja na...
 • Feeds ya Ulandishaji    Moduli ya kijanja ya kulandisha ambayo inatengeza feed ya ulandishaji kwa ukurasa ambapo moduli...
 • Viungo vya Mtandao    Moduli hii inaonyesha viungo vya mtandao kutoka kwa jamii iliofafanuliwa katika komponenti ya Viungo vya Mtandao.
 • Nani yuko kwenye laini    Moduli ya 'Nani yuko kwenye laini' inaonyesha idadi ya watumiaji wasiojulikana (kwa mfano, wageni)...
 • Kipindo    Moduli hii inaonyesha dirisha la iframe katika nafasi iliotajwa.