Difference between revisions of "Module/sw"
From Joomla! Documentation
(Importing a new version from external source) |
(Importing a new version from external source) |
||
Line 13: | Line 13: | ||
Kuelewa ni vipi kusakinisha na kutumia moduli katika Joomla, unapendekezwa kusoma [[Usimamizi wa Moduli ya Joomla]] | Kuelewa ni vipi kusakinisha na kutumia moduli katika Joomla, unapendekezwa kusoma [[Usimamizi wa Moduli ya Joomla]] | ||
− | === | + | === Wanaoanza/Wakatikati === |
− | + | Kutengeza moduli rahisi ya Joomla ni mojawapo ya hatua rahisi ambayo unaweza kufanya. Mafunzo [[S:MyLanguage/Creating a simple module|Kutengeza Moduli Rahisi]] yametekelezwa kwa ku kuonyesha njia zote. Yanaanza na moduli rahisi, na tena yanaonyesha mambo madogo ambayo unaweza kuyatekeleza na moduli. | |
=== Advanced === | === Advanced === |
Revision as of 18:51, 15 March 2014
Moduli ni viendelezo vyepesi na rahisi vinavyotumika kwa kutoa kurasa. Moduli hizi mara nyingi ni kama "visanduku" vilivyopangwa kiduara kwa komponenti katika ukurasa wa kawaida. Mfano maarufu sana ni moduli ya kuingia. Moduli zinapeanwa kwa kitu cha menyu, kwa hivyo unaweza kuamua kuonyesha au kuficha (kwa mfano) moduli ya kuingia, itategemea na kurasa (kitu cha menyu) gani mtumiaji yuko kwa sasa. Baadhi ya moduli zimeunganishwa na komponenti: moduli ya “habari za karibuni”, kwa mfano, unganisha kwa komponenti ya yaliyomo (com_content) na onyesha viungo kwa vitu vya yaliyomo mapya. Kwa vyovyote, moduli hazi hitaji kuunganisha na komponenti; hakuna hata haja ya kuunganishwa na kitu chochote na unaweza kuwa HTML ya tuli au maandishi.
Moduli zinavyosimamiwa katika mtazamo wa Msimamizi wa Joomla! na Menega wa Moduli. Habari zaidi kuhusu usimamizi wa moduli zinaweza kupatikana kwenye toleo la mwafaka wa skrini ya usaidizi.
Angalia pia: Komponenti, Plugin, Templeti
Kujifunza Saidi
Nafasi za Moduli
Nafasi ya moduli ni mashiko ya kusubiri (placeholder) ndani ya templeti. Itakumbuka nafasi moya au nyingi ndani ya templeti na itamwambia maobmi ya Joomla! wapi kuweka pato kutoka kwa modli zilizopeanwa kwa nafasi maalum. Mchoraji wa templeti ako na uwezo wote juu ya nafasi za moduli. Hii itaongoza kwa aina tofauti za templeti, na nafasi ya difoti za Joomla! zilizopeanwa kwa moduli ndani ya data za mfano wa kusakinisha.
Kwa mfano, nafasi ya moduli "Kushoto" itakufafanulia kuwa upande wa kushoto wa templeti kwa kuonyesha menyu ya uramazaji wa wavuti. Hii inamanisha ikiwa moduli iliopeanwa kwa nafasi ya "Kushoto" itaonyeshwa popote mchoraji atakapo iweka hii nafasi ya moduli a "Kushoto" - si lazima kuwa upande wa kushoto wa ukurasa.
Usomaji uliopendekezwa
Mamoduli ni mojawapo ya kipande rahisi cha Joomla na ni sehemu bora ya kuanzia kwa watu wanaojifunza kwa kutumia mfumo (uliosawa na widgets katika wordpress). Yanaweza kuonyeshwa kwa kila pahali pa ukurasa (kwa kila nafasi inayoruhusiwa na templeti, na katika eneo kubwa la yaliomo kwa kutumia plugin ya loadmodule kwa komponenti ya com_content).
Wanaoanza
Kuelewa ni vipi kusakinisha na kutumia moduli katika Joomla, unapendekezwa kusoma Usimamizi wa Moduli ya Joomla
Wanaoanza/Wakatikati
Kutengeza moduli rahisi ya Joomla ni mojawapo ya hatua rahisi ambayo unaweza kufanya. Mafunzo Kutengeza Moduli Rahisi yametekelezwa kwa ku kuonyesha njia zote. Yanaanza na moduli rahisi, na tena yanaonyesha mambo madogo ambayo unaweza kuyatekeleza na moduli.
Advanced
Introduced into Joomla 3.2 is a hidden component that allows modules to create AJAX requests. You can find documentation about using the AJAX component to help you create even better modules.
Joomla! Default Modules
Joomla! is packaged with many modules, more are available on the JED(Joomla! Extension Directory). Here are the standard modules available in a new Joomla! installation.
- Archived Articles → This Module shows a list of the calendar months containing Archived Articles.
- Articles - Newsflash → The Newsflash Module will display a fixed number of articles from a specific category.
- Articles - Related Articles → This Module displays other Articles that are related to the one currently being viewed....
- Articles Categories → This module displays a list of categories from one parent category.
- Articles Category → This module displays a list of articles from one or more categories.
- Banners → The Banner Module displays the active Banners from the Component.
- Breadcrumbs → This Module displays the Breadcrumbs
- Custom HTML → This Module allows you to create your own HTML Module using a WYSIWYG editor.
- Feed Display → This module allows the displaying of a syndicated feed
- Footer → This module shows the Joomla! copyright information.
- Language Switcher → This module displays a list of available Content Languages (as defined and published in...)
- Latest News → This Module shows a list of the most recently published and current Articles. Some that...
- Latest Users → This module displays the latest registered users
- Login → This module displays a username and password login form. It also displays a link to...
- Menu → This module displays a menu on the frontend.
- Most Read Content → This Module shows a list of the currently published Articles which have the highest...
- Popular Tags → The Popular Tags Module displays the most commonly used tags, optionally within specific...
- Random Image → This Module displays a random image from your chosen directory.
- Search → This module will display a search box.
- Similar Tags → The Similar Tags Module displays links to other items with similar tags. The closeness...
- Smart Search Module → This is a search module for the Smart Search system.
- Statistics → The Statistics Module shows information about your server installation together with...
- Syndication Feeds → Smart Syndication Module that creates a Syndicated Feed for the page where the Module is...
- Weblinks → This modules displays Web Links from a category defined in the Weblinks component.
- Who's Online → The Who's Online Module displays the number of Anonymous Users (e.g. Guests) and...
- Wrapper → This Module shows an iframe window to specified location.