Difference between revisions of "Module/sw"

From Joomla! Documentation

(Importing a new version from external source)
(Updating to match new version of source page)
(19 intermediate revisions by one other user not shown)
Line 1: Line 1:
 
<noinclude><languages /></noinclude>
 
<noinclude><languages /></noinclude>
{{Chunk:Module/sw|Moduli}}
+
{{Chunk:Module/sw}}
  
 
==Kujifunza Saidi==
 
==Kujifunza Saidi==
  
 
===Nafasi za Moduli===
 
===Nafasi za Moduli===
{{Chunk:Module Position/sw|Nafasi ya moduli}}
+
{{Chunk:Module Position/sw}}
  
==Recommended Reading==
+
==Usomaji uliopendekezwa==
Modules are one of the simplest parts of Joomla and a great entry point for people learning to use the system (the equivalent of widgets in wordpress). They can be displayed just about [[Module_positions|anywhere on a page]] (in all the positions a template allows as well as in the main content area using the [[How do you put a module inside an article?|loadmodule plugin]] for the com_content component).
+
Mamoduli ni mojawapo ya kipande rahisi cha Joomla na ni sehemu bora ya kuanzia kwa watu wanaojifunza kwa kutumia mfumo (uliosawa na widgets katika wordpress). Yanaweza kuonyeshwa kwa [[S:MyLanguage/Module_positions|kila pahali pa ukurasa]] (kwa kila nafasi inayoruhusiwa na templeti, na katika eneo kubwa la yaliomo kwa kutumia [[S:MyLanguage/How do you put a module inside an article?|plugin ya loadmodule]] kwa komponenti ya com_content).
  
 
=== Beginner ===
 
=== Beginner ===
 
To understand how to install and use a module in Joomla it is recommended to read [[Administration of a Module in Joomla]]
 
To understand how to install and use a module in Joomla it is recommended to read [[Administration of a Module in Joomla]]
 +
You can read [[Help33:Extensions_Module_Manager_Custom_HTML|Module Manager Custom HTML]] for an example.
  
=== Beginner/Intermediate ===
+
=== Wanaoanza/Wakatikati ===
Creating a simple module for Joomla is one of the simplest development steps you can do - and the [[Creating a simple module|creating a simple module]] tutorial is designed to take you through this. It starts with a simple module and then shows a few things you can then do with the module.
+
Kutengeza moduli rahisi ya Joomla ni mojawapo ya hatua rahisi ambayo unaweza kufanya. Mafunzo [[S:MyLanguage/Creating a simple module|Kutengeza Moduli Rahisi]] yametekelezwa kwa kuonyesha njia zote. Yanaanza na moduli rahisi, na tena yanaonyesha mambo madogo ambayo unaweza kuyatekeleza na moduli.
  
 
=== Advanced ===
 
=== Advanced ===
Introduced into Joomla 3.2 is a hidden component that allows modules to create AJAX requests. You can find documentation about [[Using the AJAX component|using the AJAX component]] to help you create even better modules.
+
Introduced into Joomla 3.2 is a hidden component that allows modules to create AJAX requests. You can find documentation about [[Using_Joomla_Ajax_Interface|Using Joomla Ajax Interface]] to help you create even better modules.
  
==Joomla! Default Modules==
+
==Mamoduli ya difoti ya Joomla!==
Joomla! is packaged with many modules, more are available on the JED([http://extensions.joomla.org Joomla! Extension Directory]). Here are the standard modules available in a new Joomla! installation.
+
Joomla! imejazwa pamoja na moduli nyingi, na moduli zaidi zinapatikana kutoka kwa JED ([http://extensions.joomla.org Joomla! saraka ya viendelezo]). Hapa kuna viendelezo vya akwaida vinapatikana katika usakinishaji mpya wa Joomla!
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Articles_Archive|Archived Articles]] {{Rarr}} This Module shows a list of the calendar months containing Archived Articles.
+
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Articles_Archive|Makala yamenyarakishwa]] {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha orodha ya miezi ya kalenda ambayo ina makala yalionyarakishwa.
*Articles - Newsflash {{Rarr}} The Newsflash Module will display a fixed number of articles from a specific category.
+
*Makala - Habari za kumwilika {{Rarr}} Moduli ya makala ya habari za kumwilika inaonyesha idadi kamili ya makala kutoka kwa jamii maalum.
*Articles - Related Articles {{Rarr}} This Module displays other Articles that are related to the one currently being viewed....
+
*Makala - Makala yanayohusiana {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha makala mengine yanayohusiana na makala ambayo kwa sasa yanaonekana....
*Articles Categories {{Rarr}} This module displays a list of categories from one parent category.
+
*Majamii ya Makala {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha orodha ya majamii kutoka kwa jamii moja ya mzazi.
*Articles Category {{Rarr}} This module displays a list of articles from one or more categories.
+
*Jamii ya Makala {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha orodha ya makala kutoka kwa jamii moja au nyingi.
*Banners {{Rarr}} The Banner Module displays the active Banners from the Component.
+
*Mabanna {{Rarr}} Moduli ya mabanna inaonyesha mabanna yanaotumika kwa sasa kutoka kwa komponenti.
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Breadcrumbs|Breadcrumbs]] {{Rarr}} This Module displays the Breadcrumbs
+
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Breadcrumbs|Breadcrumbs]] {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha breadcrumbs
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Custom_HTML|Custom HTML]] {{Rarr}} This Module allows you to create your own HTML Module using a WYSIWYG editor.
+
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Custom_HTML|HTML ya desturi]] {{Rarr}} Moduli hii inakuruhusu kwa kutengeza moduli yako ya HTML kwa kutumia mhariri wa WYSIWYG.
*Feed Display {{Rarr}} This module allows the displaying of a syndicated feed
+
*Onyesho la Feed {{Rarr}} Moduli hii inaruhusu kuonyesha feed iliyolandishwa
*Footer {{Rarr}} This module shows the Joomla! copyright information.
+
*Kijajuu {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha taarifa ya hakimiliki ya Joomla!
*Language Switcher {{Rarr}} This module displays a list of available Content Languages (as defined and published in...)
+
*Switcha ya Lugha {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha orodha ya malugha yanayopatikana ya yaliomo (kama yaliofafanuliwa na yaliochapishwa katika...)
*Latest News {{Rarr}} This Module shows a list of the most recently published and current Articles. Some that...
+
*Habari za hivi karibuni {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha orodha ya makala yaliochapishwa karibuni na makala ya sasa....
*Latest Users {{Rarr}} This module displays the latest registered users
+
*Watumiaji wa hivi karibuni {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha watumiaji waliosajiliwa karibuni
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Login|Login]] {{Rarr}} This module displays a username and password login form. It also displays a link to...
+
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Login|Ingia]] {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha fomu ya kuingia kwa kutumia jina la mtumiaji na nenosiri. Pia inaonyesha kiungo kwa...
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Menu|Menu]] {{Rarr}} This module displays a menu on the frontend.
+
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Menu|Menyu]] {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha menyu katika upande wa mbele.
*Most Read Content {{Rarr}} This Module shows a list of the currently published Articles which have the highest...
+
*Yaliomo yanayosomwa zaidi {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha orodha ya makala yanayochapishwa sasa ambayo yana ...
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Tags_Popular|Popular Tags]] {{Rarr}} The Popular Tags Module displays the most commonly used tags, optionally within specific...
+
*[[S:MyLanguage/{{RVer|help}}:Extensions_Module_Manager_Tags_Popular|Matagi Maarufu]] {{Rarr}} Moduli ya matagi maarufi inaonyesha matagi yanayotumika sana, kwa hiari pamoja na...
*Random Image {{Rarr}} This Module displays a random image from your chosen directory.
+
*Picha bila mpangilio {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha mapicha bila ya mpangilio kutoka kwa saraka uliochaua.
*Search {{Rarr}} This module will display a search box.
+
*Tafuta {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha kisanduku cha kutafuta.
*Similar Tags {{Rarr}} The Similar Tags Module displays links to other items with similar tags. The closeness...
+
*Matagi yanayofanana {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha viungo kwa vitu vingini na matagi yanayofanana....
*Smart Search Module {{Rarr}} This is a search module for the Smart Search system.
+
*Moduli ya Tafuta kijanja {{Rarr}} Hii ni moduli ya kutafuta kwa mfumo wa tafuta kijanja.
*Statistics {{Rarr}} The Statistics Module shows information about your server installation together with...
+
*Takwimu {{Rarr}} Moduli ya matakwimu inaonyesha maelezo kuhusu usakinishaji wako wa seva pamoja na...
*Syndication Feeds {{Rarr}} Smart Syndication Module that creates a Syndicated Feed for the page where the Module is...
+
*Feeds ya Ulandishaji {{Rarr}} Moduli ya kijanja ya kulandisha ambayo inatengeza feed ya ulandishaji kwa ukurasa ambapo moduli...
*Weblinks {{Rarr}} This modules displays Web Links from a category defined in the Weblinks component.
+
*Viungo vya Mtandao {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha viungo vya mtandao kutoka kwa jamii iliofafanuliwa katika komponenti ya Viungo vya Mtandao.
*Who's Online {{Rarr}} The Who's Online Module displays the number of Anonymous Users (e.g. Guests) and...
+
*Nani yuko kwenye laini {{Rarr}} Moduli ya 'Nani yuko kwenye laini' inaonyesha idadi ya watumiaji wasiojulikana (kwa mfano, wageni)...
*Wrapper {{Rarr}} This Module shows an iframe window to specified location.
+
*Kipindo {{Rarr}} Moduli hii inaonyesha dirisha la iframe katika nafasi iliotajwa.
  
[[Category:Extensions| Module]][[Category:Landing Pages]][[Category:Glossary]][[Category:JED]]
+
[[Category:Extensions/sw| Moduli]] [[Category:Landing Pages/sw|Makurasa ya kutua]] [[Category:Glossary/sw|Glossary]] [[Category:JED/sw|JED]]

Revision as of 22:53, 10 November 2014

Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎català • ‎eesti • ‎español • ‎français • ‎hrvatski • ‎italiano • ‎português • ‎português do Brasil • ‎български • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語

Moduli ni viendelezo vyepesi na rahisi vinavyotumika kwa kutoa kurasa. Moduli hizi mara nyingi ni kama "visanduku" vilivyopangwa kiduara kwa komponenti katika ukurasa wa kawaida. Mfano maarufu sana ni moduli ya kuingia. Moduli zinapeanwa kwa kitu cha menyu, kwa hivyo unaweza kuamua kuonyesha au kuficha (kwa mfano) moduli ya kuingia, itategemea na kurasa (kitu cha menyu) gani mtumiaji yuko kwa sasa. Baadhi ya moduli zimeunganishwa na komponenti: moduli ya “habari za karibuni”, kwa mfano, unganisha kwa komponenti ya yaliyomo (com_content) na onyesha viungo kwa vitu vya yaliyomo mapya. Kwa vyovyote, moduli hazi hitaji kuunganisha na komponenti; hakuna hata haja ya kuunganishwa na kitu chochote na unaweza kuwa HTML ya tuli au maandishi.

Moduli zinavyosimamiwa katika mtazamo wa Msimamizi wa Joomla! na Menega wa Moduli. Habari zaidi kuhusu usimamizi wa moduli zinaweza kupatikana kwenye toleo la mwafaka wa skrini ya usaidizi.

Angalia pia: Komponenti, Plugin, Templeti

Kujifunza Saidi

Nafasi za Moduli

Nafasi ya moduli ni mashiko ya kusubiri (placeholder) ndani ya templeti. Itakumbuka nafasi moya au nyingi ndani ya templeti na itamwambia maobmi ya Joomla! wapi kuweka pato kutoka kwa modli zilizopeanwa kwa nafasi maalum. Mchoraji wa templeti ako na uwezo wote juu ya nafasi za moduli. Hii itaongoza kwa aina tofauti za templeti, na nafasi ya difoti za Joomla! zilizopeanwa kwa moduli ndani ya data za mfano wa kusakinisha.

Kwa mfano, nafasi ya moduli "Kushoto" itakufafanulia kuwa upande wa kushoto wa templeti kwa kuonyesha menyu ya uramazaji wa wavuti. Hii inamanisha ikiwa moduli iliopeanwa kwa nafasi ya "Kushoto" itaonyeshwa popote mchoraji atakapo iweka hii nafasi ya moduli a "Kushoto" - si lazima kuwa upande wa kushoto wa ukurasa.


Usomaji uliopendekezwa

Mamoduli ni mojawapo ya kipande rahisi cha Joomla na ni sehemu bora ya kuanzia kwa watu wanaojifunza kwa kutumia mfumo (uliosawa na widgets katika wordpress). Yanaweza kuonyeshwa kwa kila pahali pa ukurasa (kwa kila nafasi inayoruhusiwa na templeti, na katika eneo kubwa la yaliomo kwa kutumia plugin ya loadmodule kwa komponenti ya com_content).

Beginner

To understand how to install and use a module in Joomla it is recommended to read Administration of a Module in Joomla You can read Module Manager Custom HTML for an example.

Wanaoanza/Wakatikati

Kutengeza moduli rahisi ya Joomla ni mojawapo ya hatua rahisi ambayo unaweza kufanya. Mafunzo Kutengeza Moduli Rahisi yametekelezwa kwa kuonyesha njia zote. Yanaanza na moduli rahisi, na tena yanaonyesha mambo madogo ambayo unaweza kuyatekeleza na moduli.

Advanced

Introduced into Joomla 3.2 is a hidden component that allows modules to create AJAX requests. You can find documentation about Using Joomla Ajax Interface to help you create even better modules.

Mamoduli ya difoti ya Joomla!

Joomla! imejazwa pamoja na moduli nyingi, na moduli zaidi zinapatikana kutoka kwa JED (Joomla! saraka ya viendelezo). Hapa kuna viendelezo vya akwaida vinapatikana katika usakinishaji mpya wa Joomla!

  • Makala yamenyarakishwa    Moduli hii inaonyesha orodha ya miezi ya kalenda ambayo ina makala yalionyarakishwa.
  • Makala - Habari za kumwilika    Moduli ya makala ya habari za kumwilika inaonyesha idadi kamili ya makala kutoka kwa jamii maalum.
  • Makala - Makala yanayohusiana    Moduli hii inaonyesha makala mengine yanayohusiana na makala ambayo kwa sasa yanaonekana....
  • Majamii ya Makala    Moduli hii inaonyesha orodha ya majamii kutoka kwa jamii moja ya mzazi.
  • Jamii ya Makala    Moduli hii inaonyesha orodha ya makala kutoka kwa jamii moja au nyingi.
  • Mabanna    Moduli ya mabanna inaonyesha mabanna yanaotumika kwa sasa kutoka kwa komponenti.
  • Breadcrumbs    Moduli hii inaonyesha breadcrumbs
  • HTML ya desturi    Moduli hii inakuruhusu kwa kutengeza moduli yako ya HTML kwa kutumia mhariri wa WYSIWYG.
  • Onyesho la Feed    Moduli hii inaruhusu kuonyesha feed iliyolandishwa
  • Kijajuu    Moduli hii inaonyesha taarifa ya hakimiliki ya Joomla!
  • Switcha ya Lugha    Moduli hii inaonyesha orodha ya malugha yanayopatikana ya yaliomo (kama yaliofafanuliwa na yaliochapishwa katika...)
  • Habari za hivi karibuni    Moduli hii inaonyesha orodha ya makala yaliochapishwa karibuni na makala ya sasa....
  • Watumiaji wa hivi karibuni    Moduli hii inaonyesha watumiaji waliosajiliwa karibuni
  • Ingia    Moduli hii inaonyesha fomu ya kuingia kwa kutumia jina la mtumiaji na nenosiri. Pia inaonyesha kiungo kwa...
  • Menyu    Moduli hii inaonyesha menyu katika upande wa mbele.
  • Yaliomo yanayosomwa zaidi    Moduli hii inaonyesha orodha ya makala yanayochapishwa sasa ambayo yana ...
  • Matagi Maarufu    Moduli ya matagi maarufi inaonyesha matagi yanayotumika sana, kwa hiari pamoja na...
  • Picha bila mpangilio    Moduli hii inaonyesha mapicha bila ya mpangilio kutoka kwa saraka uliochaua.
  • Tafuta    Moduli hii inaonyesha kisanduku cha kutafuta.
  • Matagi yanayofanana    Moduli hii inaonyesha viungo kwa vitu vingini na matagi yanayofanana....
  • Moduli ya Tafuta kijanja    Hii ni moduli ya kutafuta kwa mfumo wa tafuta kijanja.
  • Takwimu    Moduli ya matakwimu inaonyesha maelezo kuhusu usakinishaji wako wa seva pamoja na...
  • Feeds ya Ulandishaji    Moduli ya kijanja ya kulandisha ambayo inatengeza feed ya ulandishaji kwa ukurasa ambapo moduli...
  • Viungo vya Mtandao    Moduli hii inaonyesha viungo vya mtandao kutoka kwa jamii iliofafanuliwa katika komponenti ya Viungo vya Mtandao.
  • Nani yuko kwenye laini    Moduli ya 'Nani yuko kwenye laini' inaonyesha idadi ya watumiaji wasiojulikana (kwa mfano, wageni)...
  • Kipindo    Moduli hii inaonyesha dirisha la iframe katika nafasi iliotajwa.