Moduli

From Joomla! Documentation

Revision as of 01:36, 17 March 2014 by Ayeko (talk | contribs) (Importing a new version from external source)
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎català • ‎eesti • ‎español • ‎français • ‎hrvatski • ‎italiano • ‎português • ‎português do Brasil • ‎български • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語

Moduli ni viendelezo vyepesi na rahisi vinavyotumika kwa kutoa kurasa. Moduli hizi mara nyingi ni kama "visanduku" vilivyopangwa kiduara kwa komponenti katika ukurasa wa kawaida. Mfano maarufu sana ni moduli ya kuingia. Moduli zinapeanwa kwa kitu cha menyu, kwa hivyo unaweza kuamua kuonyesha au kuficha (kwa mfano) moduli ya kuingia, itategemea na kurasa (kitu cha menyu) gani mtumiaji yuko kwa sasa. Baadhi ya moduli zimeunganishwa na komponenti: moduli ya “habari za karibuni”, kwa mfano, unganisha kwa komponenti ya yaliyomo (com_content) na onyesha viungo kwa vitu vya yaliyomo mapya. Kwa vyovyote, moduli hazi hitaji kuunganisha na komponenti; hakuna hata haja ya kuunganishwa na kitu chochote na unaweza kuwa HTML ya tuli au maandishi.

Moduli zinavyosimamiwa katika mtazamo wa Msimamizi wa Joomla! na Menega wa Moduli. Habari zaidi kuhusu usimamizi wa moduli zinaweza kupatikana kwenye toleo la mwafaka wa skrini ya usaidizi.

Angalia pia: Komponenti, Plugin, Templeti

Kujifunza Saidi

Nafasi za Moduli

Nafasi ya moduli ni mashiko ya kusubiri (placeholder) ndani ya templeti. Itakumbuka nafasi moya au nyingi ndani ya templeti na itamwambia maobmi ya Joomla! wapi kuweka pato kutoka kwa modli zilizopeanwa kwa nafasi maalum. Mchoraji wa templeti ako na uwezo wote juu ya nafasi za moduli. Hii itaongoza kwa aina tofauti za templeti, na nafasi ya difoti za Joomla! zilizopeanwa kwa moduli ndani ya data za mfano wa kusakinisha.

Kwa mfano, nafasi ya moduli "Kushoto" itakufafanulia kuwa upande wa kushoto wa templeti kwa kuonyesha menyu ya uramazaji wa wavuti. Hii inamanisha ikiwa moduli iliopeanwa kwa nafasi ya "Kushoto" itaonyeshwa popote mchoraji atakapo iweka hii nafasi ya moduli a "Kushoto" - si lazima kuwa upande wa kushoto wa ukurasa.


Usomaji uliopendekezwa

Mamoduli ni mojawapo ya kipande rahisi cha Joomla na ni sehemu bora ya kuanzia kwa watu wanaojifunza kwa kutumia mfumo (uliosawa na widgets katika wordpress). Yanaweza kuonyeshwa kwa kila pahali pa ukurasa (kwa kila nafasi inayoruhusiwa na templeti, na katika eneo kubwa la yaliomo kwa kutumia plugin ya loadmodule kwa komponenti ya com_content).

Wanaoanza

Kuelewa ni vipi kusakinisha na kutumia moduli katika Joomla, unapendekezwa kusoma Usimamizi wa Moduli ya Joomla

Wanaoanza/Wakatikati

Kutengeza moduli rahisi ya Joomla ni mojawapo ya hatua rahisi ambayo unaweza kufanya. Mafunzo Kutengeza Moduli Rahisi yametekelezwa kwa kuonyesha njia zote. Yanaanza na moduli rahisi, na tena yanaonyesha mambo madogo ambayo unaweza kuyatekeleza na moduli.

Waliowanajua

Kipengele kipya cha Joomla 3.2 ni komponenti iliojificha ambayo inaruhusu mamoduli kutengeza maombi ya AJAX. Unaweza kupata nyaraka kuhusu kutumia komponenti ya AJAX kwa kusaidia kutengeza mamoduli mazuri sana.

Mamoduli ya difoti ya Joomla!

Joomla! imejazwa pamoja na moduli nyingi, na moduli zaidi zinapatikana kutoka kwa JED (Joomla! saraka ya viendelezo). Hapa kuna viendelezo vya akwaida vinapatikana katika usakinishaji mpya wa Joomla!

  • Makala yamenyarakishwa    Moduli hii inaonyesha orodha ya miezi ya kalenda ambayo ina makala yalionyarakishwa.
  • Makala - Habari za kumwilika    Moduli ya makala ya habari za kumwilika inaonyesha idadi kamili ya makala kutoka kwa jamii maalum.
  • Makala - Makala yanayohusiana    Moduli hii inaonyesha makala mengine yanayohusiana na makala ambayo kwa sasa yanaonekana....
  • Majamii ya Makala    Moduli hii inaonyesha orodha ya majamii kutoka kwa jamii moja ya mzazi.
  • Jamii ya Makala    Moduli hii inaonyesha orodha ya makala kutoka kwa jamii moja au nyingi.
  • Mabanna    Moduli ya mabanna inaonyesha mabanna yanaotumika kwa sasa kutoka kwa komponenti.
  • Breadcrumbs    Moduli hii inaonyesha breadcrumbs
  • Custom HTML    Moduli hii inakuruhusu kwa kutengeza moduli yako ya HTML kwa kutumia mhariri wa WYSIWYG.
  • Onyesho la Feed    Moduli hii inaruhusu kuonyesha feed iliyolandishwa
  • Kijajuu    Moduli hii inaonyesha taarifa ya hakimiliki ya Joomla!
  • Switcha ya Lugha    Moduli hii inaonyesha orodha ya malugha yanayopatikana ya yaliomo (kama yaliofafanuliwa na yaliochapishwa katika...)
  • Habari za hivi karibuni    Moduli hii inaonyesha orodha ya makala yaliochapishwa karibuni na makala ya sasa....
  • Watumiaji wa hivi karibuni    Moduli hii inaonyesha watumiaji waliosajiliwa karibuni
  • Ingia    Moduli hii inaonyesha fomu ya kuingia kwa kutumia jina la mtumiaji na nenosiri. Pia inaonyesha kiungo kwa...
  • Menyu    Moduli hii inaonyesha menyu katika upande wa mbele.
  • Yaliomo yanayosomwa zaidi    Moduli hii inaonyesha orodha ya makala yanayochapishwa sasa ambayo yana ...
  • Matagi Maarufu    Moduli ya matagi maarufi inaonyesha matagi yanayotumika sana, kwa hiari pamoja na...
  • Picha bila mpangilio    Moduli hii inaonyesha mapicha bila ya mpangilio kutoka kwa saraka uliochaua.
  • Tafuta    Moduli hii inaonyesha kisanduku cha kutafuta.
  • Matagi yanayofanana    Moduli hii inaonyesha viungo kwa vitu vingini na matagi yanayofanana....
  • Moduli ya Tafuta kijanja    Hii ni moduli ya kutafuta kwa mfumo wa tafuta kijanja.
  • Takwimu    Moduli ya matakwimu inaonyesha maelezo kuhusu usakinishaji wako wa seva pamoja na...
  • Feeds ya Ulandishaji    Moduli ya kijanja ya kulandisha ambayo inatengeza feed ya ulandishaji kwa ukurasa ambapo moduli...
  • Viungo vya Mtandao    Moduli hii inaonyesha viungo vya mtandao kutoka kwa jamii iliofafanuliwa katika komponenti ya Viungo vya Mtandao.
  • Nani yuko kwenye laini    Moduli ya 'Nani yuko kwenye laini' inaonyesha idadi ya watumiaji wasiojulikana (kwa mfano, wageni)...
  • Kipindo    Moduli hii inaonyesha dirisha la iframe katika nafasi iliotajwa.