Difference between revisions of "Module chrome/sw"

From Joomla! Documentation

 
Line 2: Line 2:
 
{{Chunk:Module chrome/sw|Chrome ya Moduli}}
 
{{Chunk:Module chrome/sw|Chrome ya Moduli}}
  
'''Angalia pia:''' [[S:MyLanguage/Standard Module Chromes|Chrome za Kawaida za Moduli]]
+
'''Angalia pia:''' [[S:MyLanguage/Standard Module Chromes|Chrome za kawaida za moduli]]
  
 
<noinclude>
 
<noinclude>

Latest revision as of 05:36, 12 April 2014

Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎català • ‎español • ‎français • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語

Chrome ya moduli inawaruhusu wachoraji wa templeti kuwa na kiwango maalum cha uwezo kwa namna ya pato kutoka kwa moduli litakaloonyeshwa katika templeti zao. Kwa kimsingi, inatoka kwa sehemu ndogo ya HTML iliotayari. Sehemu hii ilioingizwa kabla, baada au mzunguko wa pato kutoka kwa kila moduli, na itaweza kurembeshwa kwa kutumia CSS. Moduli ya chrome inatumika mara nyingi kwa kutoa mizunguko ya mipaka ya moduli, hasa na vipembe vya duara, lakini itaweza kutumika kwa vitu tofauti.

Chrome ya moduli itaamuwa kwa kutumia tabia ya 'style' ndania ya taarifa ambayo inaita moduli. Kwa mfano, taarifa ifuatayo inaweza kutumika katika faili ya index.php ya templeti kwa kuingiza mamoduli katika nafasi ya 'user1' na kuomba moduli ya chrome ya 'custom':

<jdoc:include type="modules" name="user1" style="custom" />

Unaweza kuona kuwa moduli ya chrome hio hio inaomba kwa kila moduli kwa nafasi hio - hii inamaanisha, ukitaka moduli mbili katika safu mmoja, lakini unataka ziwe na chrome tofauti za moduli, nilazima uzitaarishe kama 'nafasi' tofauti (kwa mfano 'user1' na 'user2').

Paketi ya kawaida ya Joomla! 1.5+ ni pamoja na mitindo sita ya difoti ya chrome ya moduli. Kwa vyovyote, nirahisi sana kubadilisha kwa mfumo ya templeti hii inamaanisha kuwa hakuna mipaka kwa mitindo hii - Ni rahisi sana kutengeza mitindo mipya mingi unayotaka!

Angalia pia: Chrome za kawaida za moduli