Actions

Difference between revisions of "Plugin/sw"

From Joomla! Documentation

(Importing a new version from external source)
(Importing a new version from external source)
Line 10: Line 10:
 
Kwa kuelewa vizuri plugin, unashauriwa [[S:MyLanguage/Creating a Plugin for Joomla|kutengeza plugin ya kimsingi ya Joomla!]].
 
Kwa kuelewa vizuri plugin, unashauriwa [[S:MyLanguage/Creating a Plugin for Joomla|kutengeza plugin ya kimsingi ya Joomla!]].
  
If you have a basic content plugin in a custom module or component, we recommended reading [[Triggering content plugins in your extension]].
+
Ikiwa uko na plugin ya msingi ya yaliomo ndani ya moduli au komponenti ya kidesturi, unapendekezwa kusoma [[S:MyLanguage/Triggering content plugins in your extension/Kusababisha plugin ya yaliomo ndani ya kiendelezo chako]].
  
 
===Advanced===
 
===Advanced===

Revision as of 13:44, 16 March 2014

Other languages:
български • ‎català • ‎English • ‎español • ‎français • ‎Bahasa Indonesia • ‎日本語 • ‎Nederlands • ‎português do Brasil • ‎Kiswahili

Plugin ni aina ya kiendelezo cha Joomla!. Plugins zinapeana kazi ambazo zinahusisha matukio ya migongano. Joomla inapeana maseti ya ukuu Matukio ya Plugin, lakini kiendelezo chochote kina weza kuchoma matukio (ya kidesturi). Wakati kukitokea matukio fulani, kazi zote za plugin za aina hii zinazohusiana na tukio hili zitanyongwa katika mlolongo. Hii ni njia yenye nguvu kwa kupanua jukumu la Jukwaa la Joomla!. Na pia inatoa njia ya kuwaruhusu watengenezaji wa kiendelezo kukabiliana na vitendo vyao vingine vya viendelezo, kufanya viendelezo viwezekupanulika.

Usanifu wa plugin wa Joomla! utafuata patani ya muundo 'waangalizi' (Observer design pattern). Darasa JPlugin hutoa maana ya kusajili msimbo wa kidesturi wa plugin pamojya na matukio ya ukuu au ya kidesturi. Darasa la JDispatcher (JEventDispatcher katika Joomla 3.x) ni kikao cha matukio ambayo yanaita Plugins zote zilizosajiliwa kwa ajili ya tukio fulani, ikiwa tukio hili lina migongamano.

Angalia pia: Komponenti, Moduli, Templeti


Kujifunza zaidi

Wanaoanza

Kwa kuelewa ni vipi kusakinisha na kutumia plugin katika Joomla, unapendekezwa kusoma Usimamizi wa Plugin ya Joomla

Wakatikati

Kwa kuelewa vizuri plugin, unashauriwa kutengeza plugin ya kimsingi ya Joomla!.

Ikiwa uko na plugin ya msingi ya yaliomo ndani ya moduli au komponenti ya kidesturi, unapendekezwa kusoma S:MyLanguage/Triggering content plugins in your extension/Kusababisha plugin ya yaliomo ndani ya kiendelezo chako.

Advanced

To understand the principles on which the Plugin system works Plugin Developer Overview. To then implement this in a component you have designed it is recommended to read Supporting plugins in your component.

Using Plugins

Plugins are grouped together depending on which event they run on. A full list of plugins grouped by event type can be found here (the names of a lot of events changed between Joomla 1.5 and Joomla 2.5 see here for a full list of changes). There are also several simple tutorials on making some sample plugins running on some of these events to help running searches on extensions using both the search and smart search components:

There are further tutorials using the user triggers on how to create an authentication plugin to help users log into Joomla and creating a profile plugin for Joomla.

A more complex example of using plugins to create a new system router to produce URLs is also available (Joomla 2.5 only).