Difference between revisions of "Chunk:Article/1/sw"
From Joomla! Documentation
(Importing a new version from external source) |
(Importing a new version from external source) |
||
(One intermediate revision by the same user not shown) | |||
Line 1: | Line 1: | ||
− | Katika Joomla! makala ni kipande cha yaliyomo | + | Katika Joomla! makala ni kipande cha yaliyomo kinachotokana na maandishi ya ([[sw.wp:HTML|HTML]]), pengine na viungo kwa rasilimali zingine (kwa mfano, mapicha). Makala ni kitengo cha msingi wa maelezo katika [[S:MyLanguage/Content|mfumo wa yaliyomo]] na kiwango cha chini katika madaraja ya yaliyomo. Kutoka kwa Joomla! 2.5 {{JVer|2.5}}, kila makala ni hasa ya [[S:MyLanguage/Category|Jamii]] mmoja. Jamii inaweza kua ndani ya jamii, ambayo inafanya jamii ya chini. Na pia inawezekana kua na jamii ambayo haikuazinishwa. Makala hizi ziko bila ya kuhusiana na jamii yoyote. |
Latest revision as of 02:01, 30 March 2014
Katika Joomla! makala ni kipande cha yaliyomo kinachotokana na maandishi ya (HTML), pengine na viungo kwa rasilimali zingine (kwa mfano, mapicha). Makala ni kitengo cha msingi wa maelezo katika mfumo wa yaliyomo na kiwango cha chini katika madaraja ya yaliyomo. Kutoka kwa Joomla! 2.5 , kila makala ni hasa ya Jamii mmoja. Jamii inaweza kua ndani ya jamii, ambayo inafanya jamii ya chini. Na pia inawezekana kua na jamii ambayo haikuazinishwa. Makala hizi ziko bila ya kuhusiana na jamii yoyote.