Actions

Translations

Chunk:Article/1/sw

From Joomla! Documentation

Revision as of 07:22, 5 March 2014 by Tom Hutchison (Talk | contribs)

Katika Joomla! makala ni kipande cha yaliyomo yanaotokana kwa maandishi (HTML), pengine na viungo kwa rasilimali zingine (kwa mfano, mapicha). Makala ni kitengo cha msingi wa maelezo katika mfumo wa yaliyomo na kiwango cha chini katika madaraja ya yaliyomo. Kutoka kwa Joomla! 2.5 Joomla 2.5, kila makala ni hasa ya Jamii moja. Jamii inaweza kua ndani ya jamii, ambayo inafanya jamii ya chini. Na pia inawezekana kua na jamii ambayo haikuazinishwa. Makala hizi ziko bila ya kuhusiana na jamii yoyote.