Chunk

Difference between revisions of "Article/sw"

From Joomla! Documentation

(Importing a new version from external source)
Line 1: Line 1:
 
<noinclude><languages /></noinclude>
 
<noinclude><languages /></noinclude>
Katika Joomla! makala ni kipande cha yaliyomo yanaotokana kwa maandishi ([[sw.wp:HTML|HTML]]), pengine na viungo kwa rasilimali zingine (kwa mfano, mapicha). Makala ni kitengo cha msingi wa maelezo katika [[Special:MyLanguage/Content|mfumo wa yaliyomo]] na kiwango cha chini katika madaraja ya yaliyomo. Kutoka kwa Joomla! 2.5 {{JVer|2.5}}, kila makala ni hasa ya [[Special:MyLanguage/Category|Jamii]] moja. Jamii inaweza kua ndani ya jamii, ambayo inafanya jamii ya chini. Na pia inawezekana kua na  jamii ambayo haikuazinishwa. Makala hizi ziko bila ya kuhusiana na jamii yoyote.
+
Katika Joomla! makala ni kipande cha yaliyomo yanaotokana kwa maandishi ([[sw.wp:HTML|HTML]]), pengine na viungo kwa rasilimali zingine (kwa mfano, mapicha). Makala ni kitengo cha msingi wa maelezo katika [[S:MyLanguage/Content|mfumo wa yaliyomo]] na kiwango cha chini katika madaraja ya yaliyomo. Kutoka kwa Joomla! 2.5 {{JVer|2.5}}, kila makala ni hasa ya [[S:MyLanguage/Category|Jamii]] moja. Jamii inaweza kua ndani ya jamii, ambayo inafanya jamii ya chini. Na pia inawezekana kua na  jamii ambayo haikuazinishwa. Makala hizi ziko bila ya kuhusiana na jamii yoyote.
  
 
Kabla ya Joomla! 2.5 na toleo la kitambo, makala zilikuwa ni viwango vya tatu katika madaraja {{rarr|[[S:Mylanguage/J1.5:Section|Sehemu]],[[S:Mylanguage/Category|Majamii]],Makala}}. Sasa makala iko kiwango cha juu na itakuwa kilamara katika kiwango cha pili au zaidi ya madaraja.
 
Kabla ya Joomla! 2.5 na toleo la kitambo, makala zilikuwa ni viwango vya tatu katika madaraja {{rarr|[[S:Mylanguage/J1.5:Section|Sehemu]],[[S:Mylanguage/Category|Majamii]],Makala}}. Sasa makala iko kiwango cha juu na itakuwa kilamara katika kiwango cha pili au zaidi ya madaraja.

Revision as of 01:54, 4 March 2014

Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎Türkçe • ‎català • ‎dansk • ‎español • ‎français • ‎hrvatski • ‎italiano • ‎português • ‎português do Brasil • ‎svenska • ‎Ελληνικά • ‎български • ‎русский • ‎العربية • ‎ไทย • ‎中文 • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語

Katika Joomla! makala ni kipande cha yaliyomo yanaotokana kwa maandishi (HTML), pengine na viungo kwa rasilimali zingine (kwa mfano, mapicha). Makala ni kitengo cha msingi wa maelezo katika mfumo wa yaliyomo na kiwango cha chini katika madaraja ya yaliyomo. Kutoka kwa Joomla! 2.5 Joomla 2.5, kila makala ni hasa ya Jamii moja. Jamii inaweza kua ndani ya jamii, ambayo inafanya jamii ya chini. Na pia inawezekana kua na jamii ambayo haikuazinishwa. Makala hizi ziko bila ya kuhusiana na jamii yoyote.

Kabla ya Joomla! 2.5 na toleo la kitambo, makala zilikuwa ni viwango vya tatu katika madaraja Sehemu  Majamii  Makala. Sasa makala iko kiwango cha juu na itakuwa kilamara katika kiwango cha pili au zaidi ya madaraja.

Articles are maintained using the Article Manager (see the Content Article Manager for Joomla 3.10 or the Content Article Manager for Joomla 2.5) which can be reached in the Administrator (Back-end) by clicking on the Content menu, then the Article Manager menu item.

Angalia pia: Jamii