Chunk

Lahamtindo wa Kuachilia (Cascading Style Sheet, CSS)

From Joomla! Documentation

Revision as of 09:06, 12 March 2014 by Ayeko (talk | contribs) (Importing a new version from external source)

Lahmamtindo wa kuachia au CSS unatumika kwa kudhibiti onyeso la ukurasa kwa XHTML. Kwa mfano, faili za CSS kila mara zinadhibiti fonti, pembezote, rangi, grapfiki za usuli, na mambo mengineo ya kurasa za wavuti. CSS ziitakuruhusu kutofautisha yaliyomo ya ukurasa wa XHTML kutoka na kuonekana. Katika Joomla!, mafaili ya CSS (kwa mfano, templeti ya.css) kwa kawaida ni sehemu ya templeti.

Angalia pia: Templeti, Suffix ya Darasa ya Uurasa , Suffix ya Darasa ya Moduli

Languages

Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎català • ‎dansk • ‎español • ‎français • ‎italiano • ‎svenska • ‎български • ‎русский • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語