Chunk

Komponenti

From Joomla! Documentation

Revision as of 16:34, 5 May 2014 by Ayeko (talk | contribs)

Komponeti ni aina ya kiendelezo kiendelezo cha Joomla!. Komponenti ni vitengo vikuu katika kazi ya Joomla!; vinaweza kuonekana kama maombi madogo. ni Mlinganisho rahisi ulio utakuwa kwamba Joomla! ni mfumo wa uendeshaji na komponeti itakuwa ni maombi ya desktop. Kwa kawaida yataonyeshwa katikati eneo kuu la yaliyomo la templeti (itategemea na templeti).

Komponenti nyingi ziko na sehemu kuu mbili: kama sehemu ya msimamizi na sehemu ya tovuti. Sehemu ya tovuti inatumika kwa kutoa kurasa ikiitwa wakati wa utendaji wa kawaida wa tovuti. Sehemu ya msimamizi inapeana kusano ya kusanidi na kusimamia masuala tofauti ya komponenti na yanayopatikana kutoka kwa maombi ya msimamizi wa Joomla!.

Joomla! inakuja na idadi za komponeti za kiini, kama mfumo wa usimamizi wa yaliyomo, fomu ya mawasiliano na viungo vya mitandao.

Angalia pia: Moduli, Plugin, Templeti

Languages

Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎català • ‎dansk • ‎español • ‎français • ‎hrvatski • ‎italiano • ‎português • ‎português do Brasil • ‎svenska • ‎български • ‎русский • ‎ไทย • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語