Chunk

Suffix ya Darasa la Moduli

From Joomla! Documentation

The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
This page is a translated version of the page Chunk:Module Class Suffix and the translation is 100% complete.

Suffix ya Darasa la Moduli ni paramita katika moduli wa Joomla!. Inwekwa ndani ya skrini ya Moduli: [Hariri] sikirini chini ya Maparamita (Hali ya juu). Kuweka paramita hii itasababisha Joomla! kama itaongeza darasa mpya la CSS au itarekebisha darasa liliopo la CSS kwa elementi ya divkwa hii moduli maalum.

Wakati Joomla! inazalisha moduli, ni moja kwa moja itatengeza darasa la CSS inaitwa "JedwaliLaModuli" kuweza kuruhusu mtindo wa moduli -- kwa mfano

<div class="JedwaliLaModuli">

Kutengeza darasa jipya, weka paramita ilio na nafasi ya kuongoza. Kwa mfano, maingizo ya nafasi na "DarasaLanguJipya" itatengeza darasa jipya la CSS liitwalo "DarasaLanguJipya ". HTML itabadilishwa kuwa

<div class="JedwaliYaModuli DarasaLanguJipya ">

Kubadilisha jina la darasa liliyoko, weka paramita bila nafasi ya kuongoza. Kwa mfano, maingizo ya "_SuffixYangu" (bila nafasi ya kuongoza) yatabadilisha HTML kwa

<div class="JedwaliYaModuli_SuffixYangu">

Kwa kawaida, unashauriwa kutumia nafasi ya kuongoza kwa kutengeza darasa jipya. Kama hivi, mtindo wa CSS kwa moduli hii ambayo inatumia majina ya kawaida ya madarasa itaendelea kufanya kazi. Unaweza kutumia jina la darasa jipya kwa kuongeza mtindo unaopenda kwa moduli bila ya kutengeza tena msimbo wote wa CSS uliopo. Kumbuka kuwa, ikiwa unatengeza jina la darasa jipya, hakikisha lina jina la kipkee na halina migogoro na majina ya darasa yaliopo.

Angalia Kutumia Suffix za Darasa kwa maelezo zaidi.

Languages

Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎català • ‎español • ‎français • ‎italiano • ‎svenska • ‎русский • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語