Kiendelezo

From Joomla! Documentation

Revision as of 16:48, 16 March 2014 by Ayeko (talk | contribs) (Importing a new version from external source)
Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎Türkçe • ‎català • ‎dansk • ‎eesti • ‎español • ‎français • ‎hrvatski • ‎italiano • ‎português • ‎português do Brasil • ‎български • ‎русский • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語

Kiendelezo ni paketi ya programu ambayo itakupanulia usakinishaji wako wa Joomla! kwa namna fulani. Chaguo dogo la viendelezo ni pamoja na difoti ya usakinisaji wa Joomla! – lakini pia mengi zaidi yanapatikana kutoka kwa Saraka ya Viendelezo vya Joomla!.

Usemi wa kiendelezo ni halali, na aina maalum zifuatazo za viendelezo vitapatikana (kwa mpangilio wa kiherufi):

  • Komponenti (tangu Joomla 1.0) – ongeza kazi kwa kidesturi kwa wavuti wako ambayo itaweza kuchaguliwa kutoka kwa menyu
  • Lugha (tangu Joomla 1.0) – itafafanua maongezo ya lugha kwa wavuti wako
  • Maktaba (tangu Joomla 2.5) – itatoa kazi ambayo itaweza kutumika na viendelezo vingine
  • Moduli (tangu Joomla 1.0) – itaonyesha data ambazo simuhimu katika kisanduku cha kando, inawezekana katika kurasa nyingi
  • Paketi (tangu Joomla 2.5) – itafunga viendelezo vinavyohusiana
  • Plugin (tangu Joomla 1.5) – itageuza yaliyomo katika makala au itapeana upanuzi wa kazi ya viendelezo vingine
  • Templeti (tangu Joomla 1.0) – itafafanua mtazamo, wakuhisi, na uwezo wa urambazaji wa wavuti wako

Kwa muhtasari zaidi wa aina ya viendelezo muhimu na kazi namna vinavyopeana, angalia Aina ya Viendelezo (Mafafanuo ya Ujumla).

See also: Extensions Table