Difference between revisions of "LDAP/sw"
From Joomla! Documentation
Line 3: | Line 3: | ||
*[[S:MyLanguage/How do Windows file permissions work?|Maruhusa ya mafaili ya WIndows yanatumika vipi?]] | *[[S:MyLanguage/How do Windows file permissions work?|Maruhusa ya mafaili ya WIndows yanatumika vipi?]] | ||
*[[S:MyLanguage/Verifying permissions|Kuthibitisha Maruhusa]] - Mifumo ilio na kina cha Unix/Linux | *[[S:MyLanguage/Verifying permissions|Kuthibitisha Maruhusa]] - Mifumo ilio na kina cha Unix/Linux | ||
− | <noinclude>[[Category:Landing Pages/sw|Makurasa ya kutua]][[Category:Glossary/sw|Glossary]]</noinclude> | + | <noinclude>[[Category:Landing Pages/sw|Makurasa ya kutua ]][[Category:Glossary/sw|Glossary]]</noinclude> |
Revision as of 04:37, 12 April 2014
Lightweight Directory Access Protocol (LDAP) ni protokoli ilioundwa kwa kuingiza mifumo ya orodha kwa TCP/IP. Kwa sababu hii, baadhi ya hifadhidata zitapeana kusano ya LDAP kama Saraka inayotumika ya Microsoft, Saraka ya Elektroniki (eDirectory) ya Novell, na suluhisho maalum zaidi la LDAP kama vile OpenLDAP.
Joomla! ina maktaba ya asili ya LDAP (JLDAP
(imebadilishwa na JClientLDAP
katika )) na plugin ya asili ya uthibitishaji ya LDAP. Huu itakuruhusu Joomla! kuthibitisha kinyume cha mifumo ya LDAP, toa kwa kifurushi na kutumia: kwa kusanidi, nenda kwa Meneja wa Plugin, na uwezeshe na kuhariri plugin ya Uthibitishaji - LDAP.
Unaweza pia kusoma mafunzo katika Anza kutoka kwa mkwaruzo wa mwanzo kwa LDAP.
Angalia pia
- Maruhusa ya mafaili ya WIndows yanatumika vipi?
- Kuthibitisha Maruhusa - Mifumo ilio na kina cha Unix/Linux