Difference between revisions of "Template/sw"

From Joomla! Documentation

(Importing a new version from external source)
(18 intermediate revisions by the same user not shown)
Line 1: Line 1:
 
<noinclude><languages /></noinclude>
 
<noinclude><languages /></noinclude>
{{Chunk:Template/sw|Templeti}}
+
{{Chunk:Template/sw}}
  
'''Angalia pia:''' [[S:MyLanguage/Extension types (general definitions)|Aina ya Viendelezo (mafafanuo ya ujumla)]]
 
'''Angalia pia:''' [[S:MyLanguage/Extension types (general definitions)|Aina ya Viendelezo (mafafanuo ya ujumla)]]
Line 10: Line 10:
 
Matempelti ya upande wa mbele yanabadilsha ni namna gani wavuti wako utaonekana na watumiaji wa kawaida. Matempleti mengi ambayo utakayotumia au utakayosakinisha yatakuwa ni matempleti wa upande wa mbele.
 
=== Back-end Templates ===
+
=== Templeti ya upande wa nyuma ===
Back-end Templates are much rarer than Frontend Templates. You will probably never need to change your Back-end Template. Back-end Templates allow you to change the way the administrator interface looks.
+
Matempleti ya upande wa nyuma ni kidgo sana kuliko matempleti ya upande wa mbele. Pengine hakutakua na hitaji lolote la kubadilisha templeti yako ya upande wa nyuma. Matempleti ya upande wa mbele yatakuruhusu kuweza kubadilisha maonekano ya kusano ya msimamizi.
  
== Recommended Reading ==
+
== Mapendekezo ya usomaji ==
  
=== Administrators ===
+
=== Msimamizi ===
Joomla administrators should go to the page on [[Template Management]] for topics about managing your Joomla template or templates.
+
Wasimamizi wa Joomla wanapaswa kwenda kwa ukurasa kuhusu [[S:MyLanguage/Template Management|masimamizi ya templeti]] kwa habari kuhusiana na usimamizi wa templeti (au matempleti) yako ya Joomla.
  
=== Developers ===
+
=== Waendelezaji ===
Joomla developers should go to the [[Portal:Template Development|Template Development]] portal page for more topics on developing a Joomla template.
+
Waendelezaji wa Joomla wanapaswa kwenda kwa ukurasa wa lango la [[S:MyLanguage/Portal:Template Development|Maendelezo ya Templeti]] kwa habari zaidi kuhusiana na kuendeleza templeti za Joomla.
  
== Finding More Information ==
+
== Kupata maelezo zaidi ==
  
*[[:Category:Template FAQ|List of frequently asked Template questions]]
+
*[[S:MyLanguage/:Category:Template FAQ|Orodha ya awali ya kila mara (FAQ) yanayohusiana na matempleti]]
*[[:Category:Templates|List of articles in the Template category]].
+
*[[S:MyLanguage/:Category:Templates|Orodha ya makala katika jamii ya Templeti]].
  
<noinclude>
 
<noinclude>
[[Category:Extensions| Template]]
+
[[Category:Extensions/sw|Templeti]]
[[Category:Landing Pages]]
+
[[Category:Landing Pages/sw|Makurasa ya kutua]]
[[Category:Glossary]]
+
[[Category:Glossary/sw|Glossary]]
[[Category:Templates]]
+
[[Category:Templates/sw|Matempleti]]
 
</noinclude>
 
</noinclude>

Revision as of 04:21, 12 April 2014

Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎català • ‎dansk • ‎eesti • ‎español • ‎français • ‎hrvatski • ‎português • ‎português do Brasil • ‎български • ‎русский • ‎فارسی • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語

Templeti ni aina ya Kiendelezo cha Joomla! kitakacho badilisha njia ya tovuti yako itakavyoonekana. Kuna aina mbili za matempleti zinazotumiwa na Joomla! CMS: Templeti ya Upande wa Mbele na Matempleti ya Upande wa Nyuma. Templeti ya upande wa mbele ni kudhibiti namna ya tovuti yako ni njia gani itawasilishwa kwa mtazamo wa mtumiaji wa yaliyomo kwa wavuti. Templeti ya upande wa nyuma ni kuudhibiti namna ya wavuti wako ni njia gani ya majukumu ya kuitawala kwa kazi iliyotolewa ya usimamizi na Joomla! Msimamizi. Haya yatakuwa ni pamoja na kazi ya kawaida kama vile mtumiaji, menyu, makala, jamii, moduli,componenti plugin na Templeti ya usimamizi.

Angalia pia: Komponenti, Moduli, Plugin

Angalia pia: Aina ya Viendelezo (mafafanuo ya ujumla)

Aina ya templeti

Kuna aina mbili za tempeti zinatumika katika wavuti kwa nguvu za Joomla CMS.

Templeti ya upande wa mbele

Matempelti ya upande wa mbele yanabadilsha ni namna gani wavuti wako utaonekana na watumiaji wa kawaida. Matempleti mengi ambayo utakayotumia au utakayosakinisha yatakuwa ni matempleti wa upande wa mbele.

Templeti ya upande wa nyuma

Matempleti ya upande wa nyuma ni kidgo sana kuliko matempleti ya upande wa mbele. Pengine hakutakua na hitaji lolote la kubadilisha templeti yako ya upande wa nyuma. Matempleti ya upande wa mbele yatakuruhusu kuweza kubadilisha maonekano ya kusano ya msimamizi.

Mapendekezo ya usomaji

Msimamizi

Wasimamizi wa Joomla wanapaswa kwenda kwa ukurasa kuhusu masimamizi ya templeti kwa habari kuhusiana na usimamizi wa templeti (au matempleti) yako ya Joomla.

Waendelezaji

Waendelezaji wa Joomla wanapaswa kwenda kwa ukurasa wa lango la Maendelezo ya Templeti kwa habari zaidi kuhusiana na kuendeleza templeti za Joomla.

Kupata maelezo zaidi