Suffix ya Darasa la Moduli
From Joomla! Documentation
Suffix ya Darasa la Moduli ni paramita katika moduli wa Joomla!. Inwekwa ndani ya skrini ya Moduli: [Hariri] sikirini chini ya Maparamita (Hali ya juu). Kuweka paramita hii itasababisha Joomla! kama itaongeza darasa mpya la CSS au itarekebisha darasa liliopo la CSS kwa elementi ya div
kwa hii moduli maalum.
Wakati Joomla! inazalisha moduli, ni moja kwa moja itatengeza darasa la CSS inaitwa "JedwaliLaModuli" kuweza kuruhusu mtindo wa moduli -- kwa mfano
<div class="JedwaliLaModuli">
Kutengeza darasa jipya, weka paramita ilio na nafasi ya kuongoza. Kwa mfano, maingizo ya nafasi na "DarasaLanguJipya" itatengeza darasa jipya la CSS liitwalo "DarasaLanguJipya ". HTML itabadilishwa kuwa
<div class="JedwaliYaModuli DarasaLanguJipya ">
Kubadilisha jina la darasa liliyoko, weka paramita bila nafasi ya kuongoza. Kwa mfano, maingizo ya "_SuffixYangu" (bila nafasi ya kuongoza) yatabadilisha HTML kwa
<div class="JedwaliYaModuli_SuffixYangu">
Kwa kawaida, unashauriwa kutumia nafasi ya kuongoza kwa kutengeza darasa jipya. Kama hivi, mtindo wa CSS kwa moduli hii ambayo inatumia majina ya kawaida ya madarasa itaendelea kufanya kazi. Unaweza kutumia jina la darasa jipya kwa kuongeza mtindo unaopenda kwa moduli bila ya kutengeza tena msimbo wote wa CSS uliopo. Kumbuka kuwa, ikiwa unatengeza jina la darasa jipya, hakikisha lina jina la kipkee na halina migogoro na majina ya darasa yaliopo.
Angalia Kutumia Suffix za Darasa kwa maelezo zaidi.
Namna ya kutumika
Ukiweka suffix ya darasa la moduli na nafasi inayoongoza, darasa jipya la CSS litatengezwa. Ikiwa paramita yako haina nafasi inayoongoza, darasa la CSS "moduletable" litabadilishwa. Mbinu ya kwanza inatumika mara nyingi, kama kwa kesi hii hautavunja mtindo ulioko wa moduli, na utaongeza tu kodi mpya ya CSS kwa mitindo mipya.
Ikiwa hautumii nafasi inayoongeza, itakubidi unakili kodi zote za mtindo wa darasa la "moduletable" na kudabiri kwa darasa jipya la CSS baada ya kubadilisha CSS.
Angalia mafunzo kuhusu Kutumia Suffix ya Darasa kwa mfano wa yaliosimuliwa kwa kutumia suffix ya darasa la ukurasa au moduli.