Templeti
From Joomla! Documentation
Templeti ni aina ya Kiendelezo cha Joomla! kitakacho badilisha njia ya tovuti yako itakavyoonekana. Kuna aina mbili za matempleti zinazotumiwa na Joomla! CMS: Templeti ya Upande wa Mbele na Matempleti ya Upande wa Nyuma. Templeti ya upande wa mbele ni kudhibiti namna ya tovuti yako ni njia gani itawasilishwa kwa mtazamo wa mtumiaji wa yaliyomo kwa wavuti. Templeti ya upande wa nyuma ni kuudhibiti namna ya wavuti wako ni njia gani ya majukumu ya kuitawala kwa kazi iliyotolewa ya usimamizi na Joomla! Msimamizi. Haya yatakuwa ni pamoja na kazi ya kawaida kama vile mtumiaji, menyu, makala, jamii, moduli,componenti plugin na Templeti ya usimamizi.
Angalia pia: Komponenti, Moduli, Plugin
Angalia pia: Aina ya Viendelezo (mafafanuo ya ujumla)
Aina ya templeti
Kuna aina mbili za tempeti zinatumika katika wavuti kwa nguvu za Joomla CMS.
Templeti ya upande wa mbele
Matempelti ya upande wa mbele yanabadilsha ni namna gani wavuti wako utaonekana na watumiaji wa kawaida. Matempleti mengi ambayo utakayotumia au utakayosakinisha yatakuwa ni matempleti wa upande wa mbele.
Templeti ya upande wa nyuma
Matempleti ya upande wa nyuma ni kidgo sana kuliko matempleti ya upande wa mbele. Pengine hakutakua na hitaji lolote la kubadilisha templeti yako ya upande wa nyuma. Matempleti ya upande wa mbele yatakuruhusu kuweza kubadilisha maonekano ya kusano ya msimamizi.
Mapendekezo ya usomaji
Msimamizi
Wasimamizi wa Joomla wanapaswa kwenda kwa ukurasa kuhusu masimamizi ya templeti kwa habari kuhusiana na usimamizi wa templeti (au matempleti) yako ya Joomla.
Waendelezaji
Waendelezaji wa Joomla wanapaswa kwenda kwa ukurasa wa lango la Maendelezo ya Templeti kwa habari zaidi kuhusiana na kuendeleza templeti za Joomla.