Prefix ya Jedwali ya Hifadhidata

From Joomla! Documentation

Revision as of 17:22, 22 March 2014 by Ayeko (talk | contribs) (Importing a new version from external source)
Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎Türkçe • ‎català • ‎español • ‎français • ‎italiano • ‎polski • ‎български • ‎русский • ‎العربية • ‎日本語

Prefix ya jedwali ya hifadhidata ni sharti (la herufi chache) zililo ongezwa mbele ya jina la majedwali ya Joomla!. Ukitumia prefix, unaweza kuendesha usasishaji tofauti wa Joomla! kwa hifadhidata moja.

Unaweza kuweka prefix ya jedwali ya hifadhidata wakati wa usasishaji. Pia unaweza kubadilisha baadaye, lakini inahitaji kuingia kwa hifadhidata kwa kutumia maana zaidi ya Joomla, au kiendelezo cha Joomla kama Akeeba Admin Tools, na wavuti wako utakua offline kwa muda fulani.

Waendelezaji wa viendelezo nilazima kutumia sharti #__ kwa kuwakilisha prefix. Hii itabadilishwa na prefix halisi wakati wa Joomla iko offline.

Angalia pia