Difference between revisions of "Joomla info page/sw-KE"

From Joomla! Documentation

< Joomla info page
 
(16 intermediate revisions by the same user not shown)
Line 3: Line 3:
  
== Ni nini Joomla? ==
 
== Ni nini Joomla? ==
Joomla ni mshindi wa tuzo la mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (Content Management System, CMS) ambazo zitakuwezesha kujenga wavuti wa nguvu sana, na kuweza kubadilisha online, na pia yalio na kasi sana. Ziko na vipengele vingi, pamoja na urahisi wa matumizi yake na uwezo wa maongezeko yake, zilifanya Joomla kuwa programu maarufu sana, Je ushabadilisha wavuti wako kwa Joomla. Ubora wote, Joomla ni chanzo cha wazi cha uvumbuzi ambacho ni huru kwa kila mtu. Na pamoja na faida ya Joomla! ni:
+
Joomla ni mshindi wa tuzo la mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (Content Management System, CMS) ni cms ambazo zitakuwezesha kujenga wavuti wa nguvu sana, na kuweza kubadilisha online, na pia zina kasi nyingi sana kwa wavuti. Ziko na vipengele vingi sana, pamoja na urahisi wa matumizi yake na uwezo wa maongezeko yake, zilifanya Joomla kuwa programu maarufu sana, Je ushabadilisha wavuti wako kwa Joomla. Ubora wote, Joomla ni chanzo cha wazi cha uvumbuzi ambacho ni huru kwa kila mtu. Na pamoja na faida ya Joomla! ni:
  
* Usasishaji rahisi
 
* Usasishaji rahisi
* Matengezo rahisi ya wavuti
+
* Utengezaji rahisi wa wavuti
* Usalama na uthabiti bora
+
* Usalama na umadhubuti bora
* Viendelezo vyanguvu - vyabure na vya aina ya biashara
+
* Viendelezo vyanguvu - vyabure na pia vya kibiashara
* Aina nyingi za templeti ni rahisi kubadilisha katika maonyesho ya wavuti wako
+
* Aina nyingi za templeti na ni rahisi sana kubadilisha katika maonyesho ya wavuti wako
  
== Wapi utapata Joomla? ==
 
== Wapi utapata Joomla? ==
 
* Shusha Toleo la Joomla: http://www.joomla.org/download.html
 
* Shusha Toleo la Joomla: http://www.joomla.org/download.html
* Shusha paketi ya lugha ya kiswahili ya Afrika Mashariki na nchi zote zinazotumia kiswahili:
+
 
Joomla 3.x: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation3_x/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6550
+
* Shusha paketi za lugha ya kiswahili za Afrika Mashariki na nchi zote zinazotumia kiswahili:
Joomla 2.5: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation1_6/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6531
+
* Shusha Joomla 2.5: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation1_6/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6531
 +
 
 +
* Shusha Joomla 3.x: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation3_x/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6550
  
== Wapi utapata viendelezo? ==
 
== Wapi utapata viendelezo? ==
Line 24: Line 26:
  
== Wapi utapata usaidizi wa Joomla? ==
 
== Wapi utapata usaidizi wa Joomla? ==
* Majadiliano ya kiingereza: http://forum.joomla.org/ (wavuti kwa kiingereza)
+
* Majadiliano ya kiingereza: http://forum.joomla.org/ (wavuti wa kiingereza)
* Majadiliano ya kiswahili http://www.joomlaeastafrica.org/forums (wavuti kwa kiswahili)
+
* Majadiliano ya kiswahili http://www.joomlaeastafrica.org/forums (wavuti wa kiswahili)
* Usaidizi kwa kiswahili: http://joomlaeastafrica.org/ (wavuti kwa kiswahili)
+
* Usaidizi wa kiswahili: http://joomlaeastafrica.org/ (wavuti wa kiswahili)
* Usaidizi wa kibiashara: http://resources.joomla.org/ (wavuti kwa kiingereza)
+
* Usaidizi wa kibiashara: http://resources.joomla.org/ (wavuti wa kiingereza)
  
== Matukio ya mkoa / Siku za Joomla! ==
 
== Matukio ya mkoa / Siku za Joomla! ==
Ujumuiya wa mitaa wa dunia nzima unaorekebisha Siku za Joomla!. Siku za Joomla! ni matukio ya kipekee kwa watumiaji, na mrada wa Joomla! ambao kawaida unavutia watazamaji wa mitaa. Maelezo zaidi: http://community.joomla.org/events
+
Ujumuiya wa mitaa wa dunia nzima unaorekebisha Siku za Joomla!. Siku za Joomla! ni matukio ya kipekee kwa watumiaji, na mrada wa Joomla! ambao kawaida unavutia watazamaji wa mitaa. Kwa maelezo zaidi: http://community.joomla.org/events
  
== Vikundi vya watumiaji wa Joomla (Joomla User Groups, JUG) ==
 
== Vikundi vya watumiaji wa Joomla (Joomla User Groups, JUG) ==
Vikundi vya watumiaji wa Joomla vya mitaa (JUG) ni njia bora ya kuwasiliana na watu, kwa kupata usaidizi wa mrada, au kubadilisha mawazo na watumiaji wengine wa Joomla. Joomla iko kila pahali - angalia katika mtaa wako kama kuna JUG. Kama hakuna, itakubidi ufikirie kama ni mrada mzuri.
+
Vikundi vya watumiaji wa Joomla vya mitaa (JUG) ni njia bora ya kuwasiliana na watu, kwa kupata usaidizi wa mrada, au kubadilisha mawazo na watumiaji wengine wa Joomla. Joomla iko karibu kila sehemu duniani - angalia katika mtaa wako kama kuna JUG. Kama hakuna, itakubidi ufikirie kama ni mrada mzuri.
  
* JUGs za Africa: http://community.joomla.org/user-groups/africa  
 
* JUGs za Africa: http://community.joomla.org/user-groups/africa  

Latest revision as of 23:51, 5 May 2014

Swahili[edit]

Ni nini Joomla?[edit]

Joomla ni mshindi wa tuzo la mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (Content Management System, CMS) ni cms ambazo zitakuwezesha kujenga wavuti wa nguvu sana, na kuweza kubadilisha online, na pia zina kasi nyingi sana kwa wavuti. Ziko na vipengele vingi sana, pamoja na urahisi wa matumizi yake na uwezo wa maongezeko yake, zilifanya Joomla kuwa programu maarufu sana, Je ushabadilisha wavuti wako kwa Joomla. Ubora wote, Joomla ni chanzo cha wazi cha uvumbuzi ambacho ni huru kwa kila mtu. Na pamoja na faida ya Joomla! ni:

  • Usasishaji rahisi
  • Utengezaji rahisi wa wavuti
  • Usalama na umadhubuti bora
  • Viendelezo vyanguvu - vyabure na pia vya kibiashara
  • Aina nyingi za templeti na ni rahisi sana kubadilisha katika maonyesho ya wavuti wako

Wapi utapata Joomla?[edit]

Wapi utapata viendelezo?[edit]

Wapi unaweza kupata uwekaji wa kumbukumbu za Joomla?[edit]

Wapi utapata usaidizi wa Joomla?[edit]

Matukio ya mkoa / Siku za Joomla![edit]

Ujumuiya wa mitaa wa dunia nzima unaorekebisha Siku za Joomla!. Siku za Joomla! ni matukio ya kipekee kwa watumiaji, na mrada wa Joomla! ambao kawaida unavutia watazamaji wa mitaa. Kwa maelezo zaidi: http://community.joomla.org/events

Vikundi vya watumiaji wa Joomla (Joomla User Groups, JUG)[edit]

Vikundi vya watumiaji wa Joomla vya mitaa (JUG) ni njia bora ya kuwasiliana na watu, kwa kupata usaidizi wa mrada, au kubadilisha mawazo na watumiaji wengine wa Joomla. Joomla iko karibu kila sehemu duniani - angalia katika mtaa wako kama kuna JUG. Kama hakuna, itakubidi ufikirie kama ni mrada mzuri.

Ni vipi kusaidia katika Joomla?[edit]