Difference between revisions of "Joomla info page/sw-KE"

From Joomla! Documentation

< Joomla info page
Line 14: Line 14:
 
* Shusha Joomla: http://www.joomla.org/download.html
 
* Shusha Joomla: http://www.joomla.org/download.html
 
* Shusha paketi ya lugha ya kiswahili ya Afrika Mashariki na nchi zote zinazotumia kiswahili:
 
* Shusha paketi ya lugha ya kiswahili ya Afrika Mashariki na nchi zote zinazotumia kiswahili:
Kwa Joomla 2.5: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation1_6/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6531  
+
Joomla 2.5: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation1_6/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6531  
  
Kwa Joomla 3.x: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation3_x/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6550
+
Joomla 3.x: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation3_x/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6550
  
 
== Wapi utapata viendelezo? ==
 
== Wapi utapata viendelezo? ==

Revision as of 05:39, 5 May 2014

Swahili[edit]

Ni nini Joomla?[edit]

Joomla ni mshindi wa tuzo la mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (Content Management System, CMS) ambazo zitakuwezesha kujenga wavuti wa nguvu sana, na maombi ya online yalio na kasi sana. Ziko na vipengele vingi, pamoja na urahisi wa matumizi yake na uwezo wa maongezeko yake, zilifanya Joomla kuwa programu maarufu sana, zinapatikana kwa wavuti. Ubora wote, Joomla ni chanzo cha wazi cha uvumbuzi ambacho ni huru kwa kila mtu. Na pamoja na faida ya Joomla! ni:

  • Usasishaji rahisi
  • Matengezo rahisi ya wavuti
  • Usalama na uthabiti bora
  • Viendelezo vyanguvu - vyabure na vya aina ya biashara
  • Aina nyingi za templeti ni rahisi kubadilisha katika maonyesho ya wavuti wako

Wapi utapata Joomla?[edit]

Joomla 2.5: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation1_6/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6531

Joomla 3.x: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation3_x/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6550

Wapi utapata viendelezo?[edit]

Wapi unaweza kupata uwekaji wa kumbukumbu za Joomla?[edit]

Wapi utapata usaidizi wa Joomla?[edit]

Matukio ya mkoa / Siku za Joomla![edit]

Ujumuiya wa mitaa wa dunia nzima unaorekebisha Siku za Joomla!. Siku za Joomla! ni matukio ya kipekee kwa watumiaji, na mrada wa Joomla! ambao kawaida unavutia watazamaji wa mitaa. Maelezo zaidi: http://community.joomla.org/events

Vikundi vya watumiaji wa Joomla (Joomla User Groups, JUG)[edit]

Vikundi vya watumiaji wa Joomla vya mitaa (JUG) ni njia bora ya kuwasiliana na watu, kwa kupata usaidizi wa mrada, au kubadilisha mawazo na watumiaji wengine wa Joomla. Joomla iko kila pahali - angalia katika mtaa wako kama kuna JUG. Kama hakuna, itakubidi ufikirie kama ni mrada mzuri.

Ni vipi kusaidia katika Joomla?[edit]