Difference between revisions of "Joomla info page/sw-KE"
From Joomla! Documentation
< Joomla info page
Line 19: | Line 19: | ||
== Wapi utapata viungo? == | == Wapi utapata viungo? == | ||
− | * Chukua | + | * Chukua viendelezo: http://extensions.joomla.org/ |
== Wapi unaweza kupata uwekaji wa kumbukumbu za Joomla? == | == Wapi unaweza kupata uwekaji wa kumbukumbu za Joomla? == |
Revision as of 04:59, 2 June 2013
Swahili[edit]
Ni nini Joomla?[edit]
Joomla ni mshindi wa tuzo la mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (Content Management System, CMS) ambao itakuwezesha kujenga wavuti na nguvu za maombi ya online. Iliyo na vipengele vingi, pamoja na urahisi wa matumizi yake na uwezo wa maongezo yake, iliyofanya Joomla kuwa programu maarufu sana ambayo inapatikana kwa wavuti. Ubora wote, Joomla ni chanzo cha wazi cha uvumbuzi ambacho ni huru kwa kila mtu. Ni pamoja na faida ya Joomla!:
- Usasishaji rahisi
- Matengezo rahisi ya wavuti
- Usalama na uthabiti bora
- Viendelezo vyanguvu - vyabure na vya aina ya biashara
- Aina nyingi za templeti ni rahisi kubadilisha katika maonyesho ya wavuti wako
Wapi utapata Joomla?[edit]
- Chukua Joomla: http://www.joomla.org/download.html
- Chukua paketi ya lugha ya kiswahili kwa Afrika Mashariki na nchi zote zinazotumia kiswahili:
Kwa Joomla 2.5: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation1_6/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6531
Kwa Joomla 3.0: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation3_x/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6550
Wapi utapata viungo?[edit]
- Chukua viendelezo: http://extensions.joomla.org/
Wapi unaweza kupata uwekaji wa kumbukumbu za Joomla?[edit]
- Uwekaji wa kumbumbu kwa kiingereza: http://docs.joomla.org/
Wapi utapata usaidizi wa Joomla?[edit]
- Usaidizi wa bure kwa kiingereza: http://forum.joomla.org/
- Usaidizi wa bure kwa kiswahili: Utapatikana karibuni
- Usaidizi wa aina ya biashara: http://resources.joomla.org/ (tovuti kwa kiingereza)
Matukio ya mkoa / Siku za Joomla![edit]
Ujumuiya wa mitaa wa dunia nzima unaorekebisha Siku za Joomla!. Siku za Joomla! ni matukio ya kipekee kwa watumiaji, na mrada wa Joomla! ambao kawaida unavutia watazamaji wa mitaa. Maelezo zaidi: http://community.joomla.org/events/joomla-days.html
Vikundi vya watumiaji wa Joomla (Joomla User Groups, JUG)[edit]
Vikundi vya watumiaji wa Joomla vya mitaa (JUG) ni njia bora ya kuwasiliana na watu, kwa kupata usaidizi wa mrada, au kubadilisha mawazo na watumiaji wengine wa Joomla. Joomla iko kila pahali - angalia katika mtaa wako kama kuna JUG. Kama hakuna, itakubidi ufikirie kama ni mrada mzuri.
- JUGs za Africa: http://community.joomla.org/user-groups/africa
- JUG FAQ: http://community.joomla.org/user-group-faqs.html
Ni vipi kusaidia katika Joomla?[edit]
- Nikujibu maswali katika kongamano zozote za Joomla!
- Andika au tafsiri mafunzo (tutorial) au uwekaji wa kumbukumbu
- Endeleza kiungo au templeti
- Jaribu au ongeza maoni na ripoti za suala: http://docs.joomla.org/How_do_you_report_a_bug%3F
- Jiunge na kikundi cha kazi ya Joomla!
- Unga mkono katika matukio ya Joomla!
- Saidia katika njia zingine, angalia http://contribute.joomla.org/