Actions

Plugin

From Joomla! Documentation

Revision as of 13:44, 16 March 2014 by Ayeko (Talk | contribs)

Other languages:
български • ‎català • ‎English • ‎español • ‎français • ‎Bahasa Indonesia • ‎日本語 • ‎Nederlands • ‎português do Brasil • ‎Kiswahili

Plugin ni aina ya kiendelezo cha Joomla!. Plugins zinapeana kazi ambazo zinahusisha matukio ya migongano. Joomla inapeana maseti ya ukuu Matukio ya Plugin, lakini kiendelezo chochote kina weza kuchoma matukio (ya kidesturi). Wakati kukitokea matukio fulani, kazi zote za plugin za aina hii zinazohusiana na tukio hili zitanyongwa katika mlolongo. Hii ni njia yenye nguvu kwa kupanua jukumu la Jukwaa la Joomla!. Na pia inatoa njia ya kuwaruhusu watengenezaji wa kiendelezo kukabiliana na vitendo vyao vingine vya viendelezo, kufanya viendelezo viwezekupanulika.

Usanifu wa plugin wa Joomla! utafuata patani ya muundo 'waangalizi' (Observer design pattern). Darasa JPlugin hutoa maana ya kusajili msimbo wa kidesturi wa plugin pamojya na matukio ya ukuu au ya kidesturi. Darasa la JDispatcher (JEventDispatcher katika Joomla 3.x) ni kikao cha matukio ambayo yanaita Plugins zote zilizosajiliwa kwa ajili ya tukio fulani, ikiwa tukio hili lina migongamano.

Angalia pia: Komponenti, Moduli, Templeti


Kujifunza zaidi

Wanaoanza

Kwa kuelewa ni vipi kusakinisha na kutumia plugin katika Joomla, unapendekezwa kusoma Usimamizi wa Plugin ya Joomla

Wakatikati

Kwa kuelewa vizuri plugin, unashauriwa kutengeza plugin ya kimsingi ya Joomla!.

Ikiwa uko na plugin ya msingi ya yaliomo ndani ya moduli au komponenti ya kidesturi, unapendekezwa kusoma S:MyLanguage/Triggering content plugins in your extension/Kusababisha plugin ya yaliomo ndani ya kiendelezo chako.

Waliowanajua

Kwa kuelewa kanuni za mfumo wa plugin, angalia Muhtasari wa waelezaji wa plugin. Kwa kutekeleza hii ndani ya komponenti ambayo umeichora, unapendekezwa kusoma Kuisaidia plugin ndani ya komponenti yako.

Kutumia plugin

Plugin zimepangwa kwa vikundi, itategemea na tukio ambapo zinatumika. Hapa unaweza kupata orodha kamili ya plugin ambazo zimepangwa kwa vikundi kwa aina ya tukio (majina ya matukio mengi yamebadilishwa kutoka Joomla 1.5 na kwenda kwa Joomla 2.5 - angalia hapa kwa orodha kamili ya mabadilisho). Pia kuna mafunzo rahisi ya aina mbalimbali ya kueleza ni vipi baadhi ya plugin za mifano zinatumika kwa baadhi ya matukio haya katika matafutaji ambayo yanatumia komponenti ya Tafuta pamoja na komponenti ya Tafuta kijanja.

Kuna mafunzo mengi ambayo yanatumia masababisho ya mtumiaji na yanaeleza ni vipi kutengeza plugin ya uthibitishaji kwa kusaidia watumiaji kuingia kwa Joomla na kutengeza plugin ya maelezo mafupi kwa Joomla.

A more complex example of using plugins to create a new system router to produce URLs is also available (Joomla 2.5 only).